Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Chalangwa Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.
Salamu nayo ni Habari? Acheni kujaza Server
Lusungo wewe utakuwa msafwa wa lusungo.Chalangwa Chunya hiyooo.... nakumbuka those days 1980s tukielekea Makongorosi. Nimeishi sana mitaa hiyo enzi hizo kulikua poa sana mabaro baro tukiwa likizo ya kazi basi tunaenda tafuta bahati ya dhahabu Chunya.