rais

  1. JamiiForums Tanzania Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

    Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu Ansbert Ngurumo | 21st February 2021 Nimemsikiza Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu. Kwanza, Magufuli...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Museveni: Mungu ana kazi nyingi, hawezi kuwa tu hapa Uganda akiwaangalia wajinga

    Mseven adressing the nation ====== Rais Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus akisema, Mungu ana kazi nyingi na hawezi kuwa Uganda tu akiwaangalia wajinga Ameongeza kuwa Mungu amewalinda na hakuna kifo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi tumempa nafasi tumwache afanye kazi yake, kelele za nini?

    Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu. kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu. Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
  7. K

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

    Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Rais Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume. Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

    ''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''
  10. J

    JamiiForums Tanzania Father Dkt. Kitima: Tunakubaliana na Rais Magufuli kwamba tumuombe Mungu na tuchukue tahadhari za kisayansi dhidi ya Covid 19

    Akizungumza katika misa ya mazishi ya Balozi Kijazi Katibu wa TEC father Kitima amesema wanakubaliana na tamko la Rais Magufuli kwamba wananchi wamwombe Mungu bila kuacha kuchukua tahadhari za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona. Father Kitima amesema ni vema wananchi wakachukua tahadhari zote...
  11. JamiiForums Tanzania Tamko la Tanganyika Law Society(TLS), Juu ya Wimbi la Pili la Mlipuko wa Ugonjwa wa Korona nchini

    TAARIFA KWA UMMA Ndugu Watanzania, TAMKO LA TLS JUU YA KUWEPO KWA WIMBI LA PILI LA UGONJWA WA KORONA NCHINI Mnamo tarehe 13 Februari 2021 Baraza la Uongozi la TLS lilikutana kutekeleza majukumu yake na moja ya ajenda ya kikao hicho ilikuwa ni umuhimu wa TLS kuitaka Serikali kutoa tamko...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

    Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
  13. JamiiForums Tanzania Kiti cha Rais kinatatua shida za wananchi kwa kutumia mamlaka ipi?

    Mimi hadi sasa sielewi mambo yanavyo kwenda. Naona JP anachapa injili balaa, sasa najiuliza athiest mmekubali kiongozi mliyemchakua asimame mbele yenu na kunena habari za Yesu kristo ? Na kumekua na mvutano sana watu ubishana ni dini ipi inamuabudu Mungu wa kweli ? Kama kiongozi wetu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli kwa Kauli hii sikubaliani nayo na sikuungi mkono pia kwani ina Viashiria vyote vya Dharau na Jeuri pia

    " Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli. Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa uamuzi wa kijasiri. Wewe ndiye Rais bora dunia nzima

    Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga la corona akasikia, hatupaswi tena kurudi nyuma. Sasa sio wakati wa kuomba tena au kulialia ni wakati wa "Kumshukuru Mungu kwa kuliponya taifa wakati ule na sasa". Tusiyumbishwe na Maneno. Nimefuatilia Watanzania wengi sana wanapenda kufa. Yaani mchana...
  17. JamiiForums Tanzania Nani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad?

    Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo. Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza siku tatu za Maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad

    Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu. Maombolezo ya kitaifa yanaanza Februari 17, ambapo bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Aidha Rais awaomba wafiwa wote wawe na moyo...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi awafuta kazi Wakuu wa Kitengo cha kupambana na Covid 19 nchini humo kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Fedha

    Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa TEC atoa ujumbe wa Kwaresma, asisitiza Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Askofu Nyaisonga kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) asema wanatambua Dunia nzima inahangaika kupambana na maradhi ya #COVID19 yanayosabishwa na #VirusiVyaCorona Awahimiza Watanzania kutokuwa watumwa wa hofu na kuchukua tahadhari. Asema ni wajibu wa kila mtu kuufuata ukweli na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…