Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Mimi hadi sasa sielewi mambo yanavyo kwenda.
Naona JP anachapa injili balaa, sasa najiuliza athiest mmekubali kiongozi mliyemchakua asimame mbele yenu na kunena habari za Yesu kristo ?
Na kumekua na mvutano sana watu ubishana ni dini ipi inamuabudu Mungu wa kweli ?
Kama kiongozi wetu anamfahamu Mungu wa kweli ni yupi, mimi nashauri atuambie tujue na watanzania wote tuanze kuwa na Mungu mmoja pamoja na Dini moja.
Itakua vizuri sana.
Na pia wale walio magelezani wafunguliwe wote, kwani Mungu anataka tuwasamee wale wote walio tukosea.