African BOY! Jux na Mkewe Pricy wameonesha sura ya mtoto wao 'Rakeem' kwa mara ya kwanza wakati akitimiza mwaka mmoja.
Priscy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-Share picha za mtoto wao zinazomuonesha sura na kumtakia mtoto wake maisha marefu na baraka tele.
Jux Na Priscy walibarikiwa...