Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
African BOY! Jux na Mkewe Pricy wameonesha sura ya mtoto wao 'Rakeem' kwa mara ya kwanza wakati akitimiza mwaka mmoja.
Priscy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-Share picha za mtoto wao zinazomuonesha sura na kumtakia mtoto wake maisha marefu na baraka tele.
Jux Na Priscy walibarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza 'Rakeem' Agosti 24 mwaka Jana 2025.