Jux aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza! wana mnaonaje mwana kapigwa au ni copy

African BOY! Jux na Mkewe Pricy wameonesha sura ya mtoto wao 'Rakeem' kwa mara ya kwanza wakati akitimiza mwaka mmoja.

Priscy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-Share picha za mtoto wao zinazomuonesha sura na kumtakia mtoto wake maisha marefu na baraka tele.

Jux Na Priscy walibarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza 'Rakeem' Agosti 24 mwaka Jana 2025.

View attachment 3655970View attachment 3655969

Aongezewe mitano tena
 
i was hiding my child from the world
i wasnt hiding the world from my child.
 
African Boy huyu hapa. Karibu Tanzania Dogo.
 
Back
Top Bottom