rangi

Ngāti Rangi is a Māori iwi (tribe) of New Zealand, whose tribal district is mainly around Ohakune and the Upper Whanganui River in the central North Island. Ngāti Rangi trace their ancestry to the chief Paerangi. They believe they were in New Zealand before the main migration of Māori to the country.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Kuwa wakala wa rangi za majumbani

    Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani,nipo mkoan dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
  2. Nani atashinda vita ya rangi ya bluu kati ya Yanga na Simba?

    Kuna mengi yanaongelewa mpaka sasa kuhusiana na jezi mpya za Yanga chini ya udhamini wa Haier. Sitagusia kuhusu migogoro hiyo ya mikataba ila nitaongelea kuhusu uchaguzi wa rangi ya blue katika moja ya jezi hizo. Msimu uliopita Simba kwa mara ya kwanza walitambulisha jezi zenye mchanganyiko wa...
  3. L

    Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China

    Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China, ili kusherehekea Sikukuu ya Spring
  4. Z

    INAUZWA Pata misumari ya bati ya rangi kwa bei poa kabisa

    Bei-6500 kwa PC1Location-Dodoma, Michese mtaa wa kona. Pia ukihitaji ya rangi zingine kam blue, gree Namba yangu ni 0653426046 karibun wadau
  5. Eti tukitumia rangi tofauti na nyeupe au nyeusi tunakaziaje?

    Waswahili tuna kawaida ya kukazia maneno, hasa kwenye rangi kama ikiwa rangi moja Mfano Nyeupe... Pee!! Nyeusi... Tii!! Sasa je rangi kama Nyekundu???? Njano??? Blue nk. Tunakaziaje?
  6. Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  7. Changamoto ya kuchagua rangi, uzuri, umbo na kimo cha mwanamke

    Niwe mkweli hivi makusudi ya Mungu kutuumba sisi wanaume na ubabaifu wa macho, au ni mimi tu mwenye macho ya Ndoige sieleweki vybez zangu ni zipi white Ndoige, dark Ndoige, nundu Ndoige, mshepu Ndoige, mfupi Ndoige, mrefu Ndoige, mwembamba Ndoige. Hadi najishangaa huu ujazo wa utajiri wa huyu...
  8. B

    Uhusiano kati ya rangi ya jezi na kufungwa

    Hivi kuna nini huko Dar es Salaam, naskia watu wana sema ema eti wananchi wamefungwa kwa sababu ya jezi zao za kiini Cha Yai. Eti wangekuwa na nyeusi Ihefu wasinge chomoka. Sasa mimi nataka kujua kutoka kwa wale wenye maono ya kiroho rangi nyeusi inasababishaje unbeaten. Kwa wale wa mambo ya...
  9. Huyu Clement Mzize ni Hallaand mtupu, tofauti yao labda nywele na rangi tu!

    Hili dogo linatisha! ukimuangalia kwa haraka haraka urefu wa miguu yake kama nkwazi. Huwezi kabisa kumtofautisha na mshambuliaji wa man city earling hallaand! derby ije haraka! Hawa madogo ndio tunawataka taifa stars!
  10. L

    Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

    Ndugu zangu katika Ajali ya Ndege Iliyotokea Juzi imeonyesha Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa na watanzania katika kila uchaguzi mpaka leo hii, CCM imeonyesha sababu za wananchi Kuendelea kuwa na Imani nayo,CCM imeonyesha sababu ya watanzania kuipigania na kuilinda kwa nguvu zao zote na kwa...
  11. SI KWELI Maziwa ya kwanza ya Mama yenye rangi ya manjano ni hatari kwa mtoto

    Kumekuwa na mtazamo kuwa maziwa ya kwanza ambayo mama huyapata mara baada ya kujifungua si maziwa yafaayo kwa mtoto. kutokana na mtazamo huu wanawake wengine huyakamua na kuyamwaga mpaka yanapotoka maziwa ya rangi nyeupe.
  12. N

    Kufufua gari na kuipaka rangi

    Salama wanajukwaa, Nimejiangalia nimeona siwezi kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari. Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa...
  13. Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

    Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe, kama msipodhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehemu zingine!! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe...
  14. Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili

    Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
  15. Napenda sana wanawake rangi ya chocolate au weusi kidoogo

    Asiwe mweusi si yaani kama balaa. Nataka mtoto ambaye sio crazy coloryaani inapendezansana
  16. Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

    Habari! Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe? Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe? Narudi mezani napata jibu ni...
  17. Kutoka kutekwa, talaka, ubaguzi wa rangi: Migogoro ya Malkia Elizabeth

    Kutoka kutekwa nyara hadi talaka na shutuma za ubaguzi wa rangi, familia ya kifalme imekuwa mgeni kwa kashfa kwa miongo kadhaa. Malkia Elizabeth II anasifiwa kwa kiasi kikubwa kustahimili dhoruba mbalimbali, picha ya utulivu huku kukiwa na drama za familia ambazo zilitengeneza lishe yenye juisi...
  18. L

    Ubaguzi wa rangi waunda sera ya kigeni ya Marekani kuhusu Afrika

    Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema uhalifu na kauli za chuki nchini Marekani vimeongezeka kidhahiri katika miaka kadhaa iliyopita, na watu...
  19. H

    Nahitaji Gerage proper kwajili ya kupiga rangi gari yangu

    Habari zenu ndugu zangu. kwa yeyote anaejua sehem nzuri na yenye usalama mkubwa ambapo naweza acha gari yangu kwa mda mrefu kwajili ya kufanya ukarabati wa board na kupiga rangi. Gari ni IST New Model Location: Dar Es Salaam Rangi: Silver Watsapp: 0783 242247 Board ipo sawa lkn kuna sehem...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…