Ngāti Rangi is a Māori iwi (tribe) of New Zealand, whose tribal district is mainly around Ohakune and the Upper Whanganui River in the central North Island. Ngāti Rangi trace their ancestry to the chief Paerangi. They believe they were in New Zealand before the main migration of Māori to the country.
DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania.
Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa maslai ya watu wachache na familia zao.
Tumeanza kujionea mambo kama:
WABUNGE
Kuna baadhi ya...
Mwili unatoa rangi. Rangi zinabubujika kutoka kwenye mwili kulingana na tabia au afya ya mtu. Hapo ndipo dini inafanana na physics.
NYEKUNDU. Katika hali yake nzuri nyekundu inaonyesha nguvu ya kujituma. Majenerali wazuri na viongozi wa watu wana rangi nyekundu nyingi katika aura yao. Ipo...
Naangalia kombe la Dunia la Wanawake hapa, michuano inayofanyika kwa ushirikiano wa nchi mbili ndugu, New Zealand na Australia. Mchezo wa kwanza New Zealand kashinda 1-0 dhidi ya Norway, sahizi ni Australia na Republic of Ireland.
Timu za taifa zinatumia jezi zenye rangi ya bendera yao, lakini...
Kwa mujibu wa vyanzo vya mtaani kuna uwepo wa ndege ndogo imepitiliza na kuingia ziwa Victoria
---
Ndege yenye namba za usajili 9127 mali ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imepata ajali na kuanguka maeneo ya uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.
Akizungumzia juu ya kutokea kwa...
NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI
UTANGULIZI
Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
Watu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla.
Mfano (hii nina uhakika mayo kwa asilimia mia kwa sababu nimei-experience) wanawake wanaotoka jasho kwenye pua huwa wana mapenzi na upendo wa ukweli ni...
Habari za wakati huu wajuzi wa mambo. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, nimefika stage hiyo na ningependa kufanya kitu sahihi ili kuepuka makosa ambayo ningeweza kuyaepuka endapo ningeomba ushauri kwa watu wenyekujua kipi kifanyike.
Nimeshamalizana na skimming, je naweza paka rangi...
Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'.
Baada ya mchezo huo ambao Vinicius alitolewa kwa kadi nyekundu, amesema "Ligi ambayo walicheza Ronaldinho...
Mwandishi: Saadala muaza
Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani.
Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili.
Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi.
Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets.
Ni wapi naweza kuipata?
Utoaji wa mahari ni utamaduni ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika jamii nyingi za Afrika na sehemu nyingine duniani. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya utoaji wa mahari kuonekana kuwa ni utamaduni uliopitwa na wakati.
Kwanza, utoaji wa mahari unaweza kuchukuliwa kama aina...
Leo nimesikia kuwa na Wamisri wamegomea movie inayomzungumzia Cleopatra kama mwanamke mweusi.
Kuna mifano mingi tu ya kusema hapa ni jinsi gani weusi unachukiwa, tunachukiwa. Tatizo nini haswa? Kuna siri gani? Ni huu huu ukosefu wetu wa maarifa au kuna jingine?
Nina rims ambazo zilikuwa silver wakapiga rangi nyeusi flan hivi haijakolea. But inabanduka hata kwa maji ya presha..
Nataka kurudia kupiga rangu rims napenda ziwe nyeusi. Wapi naweza pata wataakamu au je naweza piga rangi mi mwenyewe hizi za kununua kwenye kopo?
Wakuu nipo zangu kijijini kwangu hapa naangalia mbalamwezi sio nyeupe kama nilivyozoea, wataalamu wa anga hebu semeni kidogo.
Kwa wakazi wa Dar angalieni mwezi.
Hili ni jambo jipya kwa sasa kwa videos za Ubongo Kids. Hapo awali hazikuwa na hizi rangi za upinde wa mvua. Lakini hivi karibuni naona videos zao zote YouTube ambazo zinaenda kwa jina la AkiliAkili zina rangi za upinde wa mvua!
Ubongo Kids wametokea kuaminiwa kwa videos zao zinazoburudisha na...
Hivi inawezekana kwa nchi yenye watu tofauti ikastawi. Maana kwa kuangalia harakaharaka naona nchi karibu zote ambazo zina usalama na zimeendelea ni zile ambazo watu wa rangi, dini na lugha moja wanakaa pamoja.
Kuna exceptions chache sana. Ni kama haiwezekani kwa nchi yenye diversity kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.