Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(LGBTQ).
Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu...