Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(LGBTQ).
Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu hapana, Lissu hakupaswa kukataa na Wala Lissu hakumwambia huyo dada aje na hizo rangi za Upinde.
Hivyo ni makosa makubwa kumshambulia na kumtukana Lissu kwa jambo kama hili, Lissu hana kosa hata kidogo hata kama ana support hao watu lakini kwenye hii hana kosa.
Wa kulaumiwa na kushambuliwa ni huyo kada wa chadema ambae kwa uwazi ameonyesha kuwa ni supporter mkubwa wa Upinde.
Tutafute vya kumkosoa Lissu, kwa hili hapana. Japokuwa msimamo wa Lissu upo wazi kabisa, lakini kwenye hili la hii picha hausiki wala tusimuonee.
Tumlaumu Lissu kwa kusema uongo na kuwa msaliti, Ila hili la picha hapana.