Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo.
Shangazi amesema kuwa alimuandikia Dewji barua ya kumuomba kujiondoa kwenye bodi hiyo tangu Juni 2...