Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi, ameongoza kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kushinda kwa kura 4,240 kati ya kura halali 6,901 zilizopigwa.
Shangazi amewashinda wagombea wenzake wanne akiwemo Amiri Mkufya aliyeshika nafasi ya pili kwa kura...
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo.
Shangazi amesema kuwa alimuandikia Dewji barua ya kumuomba kujiondoa kwenye bodi hiyo tangu Juni 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.