Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi, ameongoza kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kushinda kwa kura 4,240 kati ya kura halali 6,901 zilizopigwa.
Shangazi amewashinda wagombea wenzake wanne akiwemo Amiri Mkufya aliyeshika nafasi ya pili kwa kura 2,191, huku Juma Mzimbiri akipata kura 200. Wengine ni Gao Ngwilizi (158) na Alhaji Selemani (112).
Jumla ya kura zote zilizopigwa katika mchakato huo zilikuwa 7,068, ambapo kura 167 ziliharibika.