Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao.
Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza...
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa,
Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo!
Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
Tanzania ni moja ya nchi zilizopo mashariki mwa bara la Africa. Na ndani yake huishi Watanzania na asilimia ndogo ya watu kutoka nchi zingine duniani. Tanzania sasa angalau haipo katika nchi maskini duniani, sasa ni nchi ya uchumi wa kati.
Nchi hii imebarikiwa sana, ina rasilimali nyingi ambazo...
Habari!
Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza.
Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe.
Options ni 2 tu kwasasa.
1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Mazingira Duniani [“UN Environment Progromme –UNEP”] (Juni, 2022), athari za ongezeko la nyuzijoto 1.1 ziko hapa leo na zinaongezeka kwa kasi, hivyo kusababisha matukio mabaya ya hali ya hewa, ikiwa ni pamoja na mawimbi ya joto, ukame, mafuriko, dhoruba za...
UTANGULIZI.
Rasilimali ni nyenzo ya muhimu ambayo huleta faida kwa kurahisisha maisha ya mwanadamu kulingana na mahitaji yake. Rasilimali inaweza kuwa ni ya asili au si ya asili kwa mfano vyanzo vya maji, misitu na hata vivutio vya kitalii kama mlima Kilimanjaro ni rasilimali ipatikanayo...
Na Ndesumbuka Merinyo
Mbunifu wa Mavazi Afrika Sana
Kwa mara ingine hivi karibuni tumetangaziwa na Waziri mwenye dhamana na utamaduni wa taifa kwamba imeundwa kamati ya "kutafuta" vazi la taifa.
Hii ni mara ya tatu kwa serikali kufanya jambo hili. Mara ya kwanza ilikuwa miaka ya 2003-4 wakati...
Nimesikia watu wakisema bara la Africa Lina utajiri mkubwa wa rasilimali. Cha kushangaza ktk somasoma yangu naona kama hatumo kivile.
Kwenye mafuta middle east, Canada, Russia, USA, Venezuela wanatamba. Kwenye gas ni haohao.
Madini ya chuma naona china, Iran, Chile, USA wanatamba. Kwenye rare...
Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana.
Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu.
Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu.
Epa, Kagoda...
Afrika ni bara vulnerable sana linapokuja suala la rasilimali zake. Sababu ni kutokana na viongozi wasiokuwa na uadirifu na kutokuwa na uzarendo.
Leo nimekutana na waraka wa serikali unaoruhusu uuzwaji wa wanyamapori. kwa u vulnerable ule ule ni lazima hii iwe work up call kwani serikali...
Wakuu shwari?
Nipo maeneo flani napiga zangu togwa hapa iliyochanganywa na mapumba yasiyochachwa, asikuambie kitu mtu.
Tuachane na hayo,
Wakati naendelea kupata najaribu kujiuliza
* Hivi ile gesi yetu ya mtwara tuliyoambiwa ni neema iliyotushukia watanzania imetufaidisha kitu gani so far?
*...
HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKINOLOJIA YA HABARI MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIFUNGUA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NAYOFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 MEI, 2022
Mhe Said Mtanda, Mkuu wa Wilaya ya Arusha na mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha...
Tanzania ni nchi pekee ambayo wanaotunza nyaraka za mikataba nyeti ya rasilimali za nchi siyo sehemu ya majadiliano na uandishi wa mikataba hiyo. Hivyo waliopewa dhamana ya kuhifadhi nyaraka hizi wamevaa nafsi ya uadilifu lakini wanachohifadhi hakina uadilifu.
Kwa mantiki nyingine mahali...
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.
Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.
Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.
Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
Kwenye ripoti ya CAG ya Shirika la Magereza wamaesema Tanzania ina Magereza 216, ambapo kwa study waliofanya kutambua sample iliwapa kuwa sample iwe 96. Yaani watembelee hali za magereza 96. Hata hivyo walishusha sample hiyo hadi 15 wakitoa sababu ya ukosefu wa rasilimali. Sample iliyochukuliwa...
Katika Kongamano la Uthibit na Tathmini linalofanyika jijini Dodoma, Aliyekuwa CAG Ludovick Utoh ametoa wito kwa serikali kuongeza uwajibikaji ili kupunguza kiwango cha upotevu wa rasilimali ambao umekuwa ukiripotiwa na CAG.
Ludovick amesema kiwango kilichopotea kwa mwaka wa fedha 2020/21 ni...
Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.
Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.
Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.
Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.
Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma.
Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma...
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini?
Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
👇...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.