Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.
Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania...
Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo.
Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
DUTCH DISEASE
Huu ugonjwa ni effect ya resource curse.
Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk
Huu ugonjwa unatokea kama ifuatavyo
Nchi ikigundua imebarikiwa na rasilimali flani, nchi ambazo hazijabarikiwa na hiko kitu...
Habari!
Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu.
Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia.
Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha.
Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii...
Salama wandugu
tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake.
Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu
aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama...
Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm.
Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho...
Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa;
Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753
Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
Hivi wewe ambaye unajiita umesoma halafu unalalamika kuwa huna kazi, unafahamu kwamba unajidhalilisha?
Acha wakose kazi vijana wa Ulaya na Marekani huko lkn siyo hapa Tanzania. Ardhi yenye rutuba isiyohitaji mbolea imejaa tele kwann usijiajiri kwenye kilimo?
Ardhi ya bure ipo tele katika mikoa...
Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha.
Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM kwenye hazina yao.
Nadhani ndiyo sababu hata inawawia ngumu kubadilisha viongozi wao hasa wakuu...
1: UTANGULIZI.
Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imepata maendeleo mazuri katika nyanja za kisiasa kiuchumi na katika ustawi wa jamii. Ingawa bado nchi inakumbana na changamoto kubwa za kimaendeleo, kama vile rushwa ongezeko kubwa la watu magonjwa na kukosa usawa wa mgawanyo wa mapato...
Utangulizi
Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake ulianza mwaka 2000 lengo kuu likiwa kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha...
Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi
Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi...
Hakika Tanzania ni moja ya nchi zilizobarikiwa kuwa na RASILIMALI nyingi sana. Tanzania ina
Maziwa
Mito
Mabawa
Mbuga za Wanyama
Mabonde
Milima
Ardhi
Watu
Pamoja na Vyote hivi Tanzania ni nchi huru kwa Miaka 60 sasa bado Tanzania ni nchi masikini.
Tumewasikia viongozi wetu Wakijitatapa kuwa...
“UKIWA Dar es Salaam wauzaji wa maduka ya mchele huwa wanajinadi kwa mbwembwe, ‘mchele safi kutoka mbeya’. Ukishafika Mbeya unakutana na wauzaji wa maduka ya mchele wakijinadi, ‘pata mchele safi kutoka Kyela'. Na ukifika hapo mjini Kyela utakutana na wauzaji wa maduka ya mchele wakijinadi...
Mimi najiuliza tu,
Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..!
Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
Nimeshangazwa sana na uamuzi wa kumzawadia mzee Ally Mwinyi gari aina ya Mercedes lenye thamani ya mil 450.
Kwani kwa umri wake huyu mzee anahitaji gari kama hilo la nini? Kama magari aliyashayatumia sana tena ya kila namna.
Kwanini ili kuenzi utumishi wake uliotukuka usingejengwa hospitali...