Watu wa kwanza wanaotakiwa kulifahamu hili ni viongozi wetu, na wao ndio wawe mstari wa mbele kuhimiza kila mtu ajibidishe kujiletea maendeleo na kwa kufanya hivyo kuipatia nchi yetu maendeeo inayoyatafuta.
Hii ndio kazi ya kwanza muhimu kwa viongozi wetu.
Hatutegemei wawe watu wa kuzunguka...