rasimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

    Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!. Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI . Zanzibar ni Alama...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Wananchi kuhusiana na Uongozi, Uchaguzi na Rasimali za Taifa

    Malalamiko ya Wananchi wa Taifa hili siku zote imekuwa kutokuwa na Haki katika chaguzi, uongozi mbovu wa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe wananchi Lakini huyu Shetani mla damu za watu mkatili anajidanya sikio la kufa hasikii na Wala hataki kumsikiliza wananchi wake yeye anachojua ni...
  3. JamiiForums Tanzania JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  4. JamiiForums Tanzania Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji.

    . Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iwekeze kwenye kile wananchi na nchi ilivyobarikiwa ili taifa likue kwa Kasi kimaendeleo

    Hamjambo wote! Lazima Tafiti, chunguzi na tathmini zifanyike. Tujue Watanzania ni nini wamebarikiwa na kile wanachoweza kulifanya to the most. Kisha tungalie ni nini tunacho katika nchi yetu ambacho tunaweza kukitumia kuweza kuendelea na kuendeleza taifa letu kuwa taifa Kubwa zaidi. Huwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…