Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI .

Zanzibar ni Alama Nyekundu kwa Watanganyika, ni sawa na ilivyo Taiwan kwa Uchina, Ukraine kwa Warusi.

Wazanzibar Kaeni kabisa kwa Kutumia, Kama mnaiba Mali za Watanganyika, mkifikiri mtavunja Muungano,,, Mtatapika vyote vya tangu 1964.
 
Kwanza usihangaike nao kila siku kina Cha maji kinaongezeka

Watakuja tu wenyewe kupiga magoti
 
Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI .

Zanzibar ni Alama Nyekundu kwa Watanganyika, ni sawa na ilivyo Taiwan kwa Uchina, Ukraine kwa Warusi.

Tutaivamia kijeshi Zanzibar, Tutawapiga wahuni wote na Tutaifanya Mkoa wa Tanganyika.

Wazanzibar Kaeni kabisa kwa Kutumia, Kama mnaiba Mali za Watanganyika, mkifikiri mtavunja Muungano,,, Mtatapika vyote vya tangu 1964.
Nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna Zanzibar. Kuna Unguja na Pemba.

Muungano ukivunjika, mazafakas watagawana mbao in less than ten years! We know them very well.
 
Zanzibar inapoteza zaidi kuliko kupata faida katika huu muungano.
 
Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI .

Zanzibar ni Alama Nyekundu kwa Watanganyika, ni sawa na ilivyo Taiwan kwa Uchina, Ukraine kwa Warusi.

Wazanzibar Kaeni kabisa kwa Kutumia, Kama mnaiba Mali za Watanganyika, mkifikiri mtavunja Muungano,,, Mtatapika vyote vya tangu 1964.
Nyerere alikuwa mjinga kwenye muungano huu.
Karume ni kweli hakuwa mjinga ndio maana aliilinda nchi yake kwenye muungano wa kimagumashi
 
Inasemekana Sina uhakika
Bandari ya Tanga ,dar na mtwara ni aridhi ya nzanzibar

Na ndio maana hata bagamoyo sugar Iko nzanzibar

Kama ni kweli basi swala muungano si la kurisheherekea uvunjike
Mkuu, kwa hiyo kabla ya muungano hiyo mikoa uliyoitaja ilikuwa ni milki ya zanzibar? Vipi ikulu ya magogoni ilijengwa na wazanzibar?
 
Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.
Hili linataka pia Watanganyika walifahamu. Usijitie uziwi.
Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI
Wacha kuzungumza uongo na kujimwambafai. Mumepoteza nini?
Zanzibar ni Alama Nyekundu kwa Watanganyika, ni sawa na ilivyo Taiwan kwa Uchina, Ukraine kwa Warusi.
Kama vile Tanganyika ilivyo alama nyekundu kwa Wazanzibari.
Wazanzibar Kaeni kabisa kwa Kutumia, Kama mnaiba Mali za Watanganyika, mkifikiri mtavunja Muungano,,, Mtatapika vyote vya tangu 1964.
Huu muungano kama utavunjika utavunjika kwa maamuzi ya pande mbili. Naona unajisahau mno. Zingatia hilo.
 
Back
Top Bottom