rc arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali Haramu yashirikiana na RC Arusha /DC na DED Ngorongoro na wamiliki wa Sheli Kuuza Petroli Elfu Sita kwa Lita kuwakomoa Wamasai !

    Wakuu, hii ni aibu na inayotia Kinyaa!!. Jamaa yangu huyu aliyepo Makao makuu ya Ngorongoro , ananipigia simu kumielezea adha wanayopitia huko Porini kwao kwa karibu mwezi mzima sasa !. Petroli ianuzwa Elfu Sita kwa Lita, huku Chama cha Mapinduzi (CCM) , Mwenyekiti wake wa Wilaya, DED, DC na...
  2. JamiiForums Tanzania RC Arusha: Ujenzi wa barabara LUDUARE- Serengeti umeanza na hatua za kuunganisha Ngorongoro na Monduli

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha tabaka gumu ili kuondoa adha kwa watalii wanaotembelea hifadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli ya kwanza ya Makalla baada ya kuwa mkuu wa mkoa Arusha

    Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla ameomba ushirikiano kutoka kwa viongozi na wananchi ili kuendeleza shughuli za kiuchumi zikiwemo sekta ya utalii na kilimo cha maua na mbogamboga. Akizungumza leo Ijumaa, Agosti 29, 2025 baada ya kuwasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwaajili...
  4. JamiiForums Tanzania RC Arusha Apiga Marufuku Ada ya Matumizi ya Vyoo Hospitali ya Mount Meru

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, amepiga marufuku kutozwa fedha kwa wananchi wanaotumia vyoo vilivyopo katika eneo la mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha-Mount Meru kufuatia malalamiko ya wananchi kwamba wamekuwa wakitozwa shilingi 200 kwa kila matumizi. Akizungumza Agosti...
  5. C

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…