rc tabora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni akiwa RC niliamini yuko smart ila baada ya kupandishwa cheo na kuanza kufunga wanawake waliomtongoza na sasa hili boko ! 🤯🤯

    Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru. Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RC Tabora atangaza dau la milioni 50 atakayetoa taarifa alipo, Chacha mtuhumiwa wa mauaji ya watoto wawili wa mke wake

    MKUU wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ametangaza kuongeza dau la zawadi kutoka shilingi milioni 20 hadi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa sahihi zitakazomsaidia kukamatwa mtuhumiwa anayefahamika kwa jina la Chacha anayesakwa kwa mauaji ya watoto wawili wa mke wake. Paul Chacha ameeleza...
  3. J

    JamiiForums Tanzania RC TABORA: Mkoa umepokea kiasi cha TZS226bn kwa ajili ya barabara tayari kilometa mpya 100 za lami zimejenjwa ndani ya miaka minne ya Rais Samia

    Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora punguza kuonekana kwenye TV kila siku ukionesha unafukuza watu ama unaamuru wakamatwe

    Kwa mwezi huuu tu nimeona post za RC wa Tabora akiamuru mtu afukuzwe kazi ama aondokee kwenye Mkoa wake. Vyema ningependekeza tu hekima ifwate kuwaondoa hawa watu; 2. Sidhani tunahitaji kumwona kila saa kwenye hizi RC amfukuza mtu fulani. 3. RC aamuru mtu flani akamatwe. 4. Aamuru xxx...
Back
Top Bottom