Biashara ya kupanga nyumba na kupangisha nyumba imeendelea kuwa na changamoto kadri siku zinavyoenda.
Nyakisasa Empire Ltd imejaribu kuja na mbinu ambayo itapunguza kero kwa wapangaji na wenye Nyumba.
Tunatoa form ambayo mpangaji atatujazia kuelezea mahitaji yake,pia tunaingia mikataba na wenye...