Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Rebecca Nsemwa wameibuka kidedea katika kura ya maoni ya kumtafuta mwakilishi wa Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Njombe kwa nafasi ya ubunge wa viti maalum CCM.
Wawili hao wamepata kura 700 na 588 mtawalia...