refund wanachuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Idara ya fedha/uhasibu kwenye fee refunding UDSM kuna urasimu mkubwa sana

    Nilijiunga na chuo kikuu UDSM kwa masomo ya post graduate mwezi October 2023 kwa program za jioni. Lakini baada ya kukamilisha usajili na kulipa ada na kuanza masomo walitubadilishia utaratibu kwamba watu wa evening program ni wachache hivyo inabidi program hiyo ivunjwe wanaosoma jioni waungane...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Pesa za refund kwa wanafunzi vyuo vya SUA na TIA kizungumkuti

    Nina wadogo zangu wawili mmoja kahitimu SUA, mwingine T.I.A, hawa wote walilipa ada mwanzo, baadae walifanikiwa kulipiwa ada na Board ya mikopo. Hivyo walipaswa kurejeshewa zile Ada walizo lipa, kama ndugu tulifurahi wao kulipiwa ada, lakini kurejeshewa ada ni haki Yao, lakini imepita zaidi ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo (HESLB) inatuzungusha kutupa refund tuliolipa madeni tukazidisha kiwango tangu Mwaka 2021

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nilikuwa mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) wakati nikisoma Chuo Kikuu! Baada ya kuhitimu na kufanikiwa kupata kazi, nikaamua kulipa mkopo wote niliokuwa nadaiwa na Bodi ili nifute deni kisha nikaomba kiasi ninachodaiwa. Kilichotokea wakanipa balance...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…