A
Anonymous
Guest
Nilijiunga na chuo kikuu UDSM kwa masomo ya post graduate mwezi October 2023 kwa program za jioni. Lakini baada ya kukamilisha usajili na kulipa ada na kuanza masomo walitubadilishia utaratibu kwamba watu wa evening program ni wachache hivyo inabidi program hiyo ivunjwe wanaosoma jioni waungane na wale wa masomo ya kawaida. Kama mtu hatoweza basi aahirishe masomo au aache chuo.
Kwa vile sikuwa na namna ya kufanya regular hours (masomo ya asubuhi na mchana) nikaomba kurudishiwa ada ili nikatafute chuo kingine.
Namshukuru Mungu niliandika barua mwezi wa 12 na mwezi wa nne mwana 2024 nimapata majibu ya Vice Chancellor kwamba nirudishiwe ada yangu(nililipa 1.5M).
Tangu majibu ya barua yatoke hadi sasa ni zaidi ya mwaka sijapewa pesa yangu na nimeenda kufuatilia zaidi ya mara 10. Na gharama zinazotumia kwemda UDSM mara kwa mara kufuatilia ni kubwa lakini kinachoumiza majibu ninayopewa ni kwamba subiri mwisho wa mwezi, mara subiri mwisho wa muhula, mara subiri mwaka wa masomo mpya, mara subiri mwaka wa fedha. Hayo yote nimesubiri na kila nilipoenda walinipa sababu mpya.
Imefika wakati nimechoka na hela ya kufuatilia hiyo ada yangu sina tena. Kuna mwenzangu ana the same case kama yangu nilikutana naye akashauri tukifungulie chuo mashtaka lakini pia haukuweza maana ni mlolongo na tumekosa msaada.
Wengine wanashauri kwamba hiyo hela haitoki maana ofisi ya uhasibu wana tabia ya kumsumbua mtu hadi achoke aachane nao wale hela.
Sijui cha kufanya naombeni msaada.