refurbished

Refurbishment is the distribution of products (generally electronics) that have been previously returned to a manufacturer or vendor for any reason, not sold in the market or new launch of a product. Refurbished products are normally tested for functionality and defects before they are sold to the public. They are repaired by the original manufacturer and resold.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Computer4Sale Nauza Laptops Refurbished Clean as New

    It has Pen which helps it to TouchScreen also👇 Lenovo 300e x360’✅ Intel celeron✅ Ram 4GB✅ Ssd 128GB✅ Touchscreen✅ Kioo inch 12.5✅ Supper slim✅ Pen✅ Bei 350,000/= Tu🔥 CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404
  2. G

    Kuna ongezeko kubwa la simu refurbished daraja la mwisho, Simu aliyonunua rafiki haikamati 4g, wauzaji viburi, Tumetumia polisi kurudisha fedha

    Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original zimetumika marekani na ulaya, watu wa huko wakizichoka au zikiharibika kuna viwanda vimeona fursa ya kuzirekebisha zijirudi katika muonekano mpya, kuziweka ndani ya box sealed kama mpya, kisha kuziuza...
  3. Namna ya kutambua simu unayonunua kama ni Brand new au Refurbished

    Kuna Post Mdau kauliza Duka gani lina reputation nzuri ya kuuza SIMU ZA SAMSUNG ORIGINAL NA SIO REFURBISHED? Nimeona nijibu kama Post Mpya kwa Faida ya wengi, kwa miaka mingi niliyouza Simu,nimeona maduka makubwa wakiuza vitu FAKE,used kwa bei ya kitu KIPYA, wateja wengi hawajui na hawana...
  4. Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors

    Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani. Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea. Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo...
  5. Wakazi wa Arusha: Naomba kujuzwa yalipo Maduka ya Laptop

    Habari wana-JF, Kwa wale wakazi na wenyeji wa Jiji la Arusha naomba mnipe taarifa kuhusu maduka yanayouza laptop used & refurbished nzuri. Nimeangalia online nimepata maduka kadhaa ila nataka kupata na mapendekezo kwa watu ambao mnajua maduka mengine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…