regina ndege qwaray

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Regina Ndege akabidhi mifuko 30 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Nangara

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray, amekabidhi msaada wa mifuko 30 ya saruji yenye thamani ya shilingi laki sita kwa ajili ya kuunga mkono ujenzi wa ofisi ya chama hicho katika Kata ya Nangara. Soma: Naibu Waziri Utumishi, Regina Ndege: Kwasasa ajira ni...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Qwaray: Msailiwa kukutana na maswali tofauti na taaluma yake kwenye usaili, ni kupima uwezo wa asili wa mhusika

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray, Aprili 17, 2026 akiwa Bungeni amefafanua hoja ya wasailiwa kada tofauti kukutana na maswali tofauti na masomo yao kwenye usaili wa awali (Aptitude test) Soma: Tumeitwa kufanya usaili wa Ukatibu Afya Mwanza tunakutana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…