Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Qwaray, amesema Serikali inatoa uhamisho wa watumishi pale inapokuwa imejiridhisha kuwa bajeti ya kugharamia uhamisho huo imetengwa. Amesema utaratibu huo unalenga kuhakikisha watumishi wanapohamishwa...