Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Qwaray, amesema Serikali inatoa uhamisho wa watumishi pale inapokuwa imejiridhisha kuwa bajeti ya kugharamia uhamisho huo imetengwa. Amesema utaratibu huo unalenga kuhakikisha watumishi wanapohamishwa wanapatiwa stahiki zao kwa wakati.
Qwaray amesema pamoja na kuwepo kwa utaratibu huo, wakati mwingine uhamisho hutolewa huku mtumishi akiwa hajalipwa kwa wakati. Amesema Serikali imeendelea kutoa miongozo kwa waajiri katika maeneo mbalimbali, kuanzia Halmashauri na ngazi nyingine, kuhakikisha wanatenga bajeti ya kugharamia malipo ya watumishi wanaohamishwa.
Soma pia kuhusu malipo ya Uhamisho
Qwaray amesema pamoja na kuwepo kwa utaratibu huo, wakati mwingine uhamisho hutolewa huku mtumishi akiwa hajalipwa kwa wakati. Amesema Serikali imeendelea kutoa miongozo kwa waajiri katika maeneo mbalimbali, kuanzia Halmashauri na ngazi nyingine, kuhakikisha wanatenga bajeti ya kugharamia malipo ya watumishi wanaohamishwa.
- Wilaya ya Korogwe Vijijini Watumishi (hasa Walimu) hawajalipwa pesa za uhamisho
- Tumetimiza vigezo vya kuhama lakini DED anagoma kutupa kibali Watumishi Halmashauri ya Korogwe Vijijini
- Fedha za uhamisho na madai Halmashauri ya Karagwe vinatolewa mwendo wa kobe tangu Mwaka 2023
- Nilihamishwa kwa lazima Halmashauri moja kwenda nyingine Mwaka 2024, sijalipwa stahiki za uhamisho mpaka leo
- Walimu Nanyumbu tunadai stahiki za Uhamisho za tangu Mwaka 2023
- Watumishi wa Idara ya Sekondari Tarime hatujalipwa fedha za likizo
- Watumishi wa Halmashauri ya Kibaha, hasa walimu, hatulipwi fedha za likizo kwa wakati
- Walimu Temeke hatujalipwa fedha za likizo tangu 2019, nasikia zimewekwa Fixed Account ziwazalishie
- Kutoka halmashauri ya Busokelo, sijalipwa fedha zangu za uhamisho wala posho ya likizo tangu 2021
- Watumishi wa Kada ya Afya katika Wilaya ya Malinyi hatulipwi stahiki zetu ikiwemo za likizo
- Fedha za Likizo Halmashauri ya Rorya inalipwa kwa kuangaliana usoni, ni maelekezo ya Serikali Kuu?
- Watumishi Kada ya Elimu Manispaa ya Ubungo hatupewi fedha za Likizo, wanaishia kutujazisha fomu tu
- Ukiomba likizo ya Mwaka katika baadhi ya Ofisi zetu za Umma unaonekana kama msaliti au uzembe
- Halmashauri ya Wilaya Mbinga inachelewesha malipo ya likizo, wakati mwingine kutolipa kabisa
- Malipo ya Likizo ya Watumishi wa Umma Liwale - Lindi, Idara ya Elimu hayatoki kwa wakati, kuna muda yanachukua hadi miaka miwili
- Walimu wa Halmashauri ya Muheza (Tanga) tunafikisha hadi Miaka minne tunasotea fedha za Uhamisho na Likizo
- Watumishi wa Afya Nachingwea – Lindi tukidai fedha za kujikimu tunatishiwa kuhamishiwa Zahanati za Vijijini
- Halmashari ya Wilaya Kishapu haiwatendei haki watumishi wake katika malipo
- Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024
- Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma hatulipwi pesa zetu za likizo
- Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga inachelewesha Malipo ya Likizo kwa Watumishi wa Umma