Hello wana JF,
Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja.
Kwa mawasiliano ni 0626817740
Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
Katika siku za hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia maduka makubwa kadhaa yakifungwa, huku la hivi punde zaidi katika orodha likiwa ni Game Stores, ambalo kufungwa kwake kutaathiri vibaya zaidi ya kazi 100 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Kuondoka kwa Game kunaikumbusha nchi ya...
Tunauza sabuni za magadi kutoka Kigoma kwa bei ya jumla na rejareja.
Tsh 29,000 Ukichukua carton zaidi ya 25 ni, na Tsh 30,000 kwa carton 1-25.
Tunapatikana Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam.
Unapochukua carton 100 au zaidi utaletewa sabuni...
Ishini sana, Tabu sio jambo jema lakini hatuna budi kuzipitia.
Kuna kibanda nimekiotea kipo soko la mtaani, hilo soko halina watu wengi saana ila pilika pilika zipo kimtindo pamoja na makazi ya watu sio uswahilini sana sio ushuani sana ni changanyikeni flani hiv nataka niweke kambi hapo...
Hapa ieleweke si Ile hali ya kuvamiwa, ni umekaa amepora amesepa, na akikulia timing anakuumiza.
Si ishu tu ya uhitaji wa sungusungu akili zichanganywe katika level ya kufikir nje ya box.
Wengi hawajui level of crimes, baadhi ya nchi ulimwenguni hakukaliki kutokana kiwango kilichopitiliza...
Habari wana jamvi,
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
Mafundi wa Wizara ya Afya wanaidai kata ya Ipera kiasi cha Tsh. 16,900,000 baada ya kujenga kichoma taka yaani "Medical waste incinerator" Katika Kituo cha afya Ipera.
Kituo hiki kipo Kata ya Ipera wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma.
Kwa mujibu wa maelezo ya Diwani wa kata ya Ipera Mh...
Habari wadau, kazi iendelee
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya simenti tupeni dondoo Kwa maana ya faida, changamoto na namna ya upatikanaji.
Hii ni moja ya biashara nayopenda kuifanya japo baada ya kuuliza hapa na pale,kuna jamaa alisema eti Ili uone faida yake ni nzuri mtu akianza na mzigo...
Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971
Ukurasa wangu wa instagram ni bnl_clothes_shoes_bags
Habari naomba kuuliza changamoto za uuzaji wa cement kwa rejareja na faida zake na hasara zake. Pia naomba kwa mwenye uzoefu chumba kimoja cha futi kumi kwa kumi kinachukua mifuko mingapi ya cement (yaani kina uwezo wa kupokea mifuko mingapi kwa wakati mmoja) ni cement ipi yenye faida nzuri na...
Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6.
Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo)
Mali zilipo ndani
Mizani
Bidhaa
Kreti za soda
Location: Ubungo Tanesco
Bei 1.65mil
WhatsApp/Call...
Salaam wadau,
Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts"
Ahsante.
Habari za muda huu, kuna jamaa yangu ni masonry yaani fundi uashi. Amejikusanya kwa muda mrefu amefanikiwa kukusanya kiasi cha pesa shilingi 5m, amepanga kufungua biashara ya duka la rejareja ili aachane na hii kazi ya masonry uashi ili aweze kuisimamia biashara yake mwenyewe.
Je, hii biashara...
Salaam wanajukwaa,
Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja...
Pata karatasi Mondi no 1 kwa shilingi 36,500/=
Bahasha za Manila A4 1000pc@ 66,000/=
Daftari pia zipo.
Vitu vyote vipo kwa bei nzuri sana
Namba zetu ni 0711972446
Karibuni sana
TUNAPATIKANA TEGETA SKANSIKA KWENYE KITUO CHA MAFUTA CHA OILCOM Bagamoyo road
NJIA PANDA YA KUELEKEA KWENYE MITAMBO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.