rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TRA yavunja rekodi ya makusanyo miaka 4 ya serikali ya awamu ya 6

    TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa kipindi cha miaka 4 ya Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  2. Anashikilia rekodi ya kuwa muigizaji asiyependwa kwenye ulimwengu wa filam...

    Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili alilithibitisha kwenye series ya Game Of Thrones baada kucheza scene ya kuuwa familia yake pamoja...
  3. R

    Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

    mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo. Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa, Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
  4. Mtanzania Geay avunja rekodi ya Daegu Marathon, South Korea

    Leo tarehe 23/02/2025 huko nchini Korea Kusini bendera ya taifa imepeperushwa vyema na kijana Mtanzania Gabriel Geay kwa kuvunja rekodi ya mbio za Daegu Marathon (course record) kwa kutumia muda wa masaa 2:05:20 na kuibuka wa kwanza. Ikumbukwe Geay ndo anashikilia rekodi ya taifa ya marathon kwa...
  5. Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya duniaπŸ™Œ

    Sina maelezo mengi habari kwa picha
  6. L

    Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  7. Kipa wa Simba, Camara aifikia rekodi ya Diarra

    Kipa wa Simba, Moussa Camara amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza. Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi...
  8. LeBron James afunga pointi 40, aifikia rekodi ya Jordan

    Nyota wa Kikapu, LeBron James ameonesha ukomavu baada ya kuiongoza Los Angeles Lakers kuoata ushindi wa Vikapu 120-112 dhidi ya Golden State Warriors katika Ligi ya NBA. LeBron amefunga Pointi 42, β€˜Ribaundi’ 17 na Asisti 8 ambapo ameungana na Michael Jordan kuwa wachezaji wawili pekee...
  9. Mauzo ya tiketi za filamu katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa China yaweka rekodi mpya na kunyakua nafasi ya kwanza duniani

    Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria. Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
  10. Rekodi mpya: Majeshi 15 makubwa zaidi barani Afrika 2025

    Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦. 1. Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ 3. Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ 4. Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦ 5. Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή 6. Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ 7. Moroko πŸ‡²πŸ‡¦ 8. DR Congo πŸ‡¨πŸ‡© 9. Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© 10. Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ 11.Tunisia...
  11. Dar es Salaam: TRA yavunja rekodi ya makusanyo mwezi Desemba, 2024

    Dar es Salaam, 01 Januari, 2025: Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
  12. Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi

    Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa kwa kukimbia muda mfupi zaidi...
  13. Rekodi mpya kuwekwa Marekani Leo November 5, 2024

    Ulimwengu kumshuhudia mtawala wa kwanza wa kike wa Taifa lenye nguvu zaidi duniani ( Kamala Haris) Hii wakulungwa wameikataa Au Mbishi asiekata tamaa na kurudi ikulu baada ya kupoteza uchaguzi uliopita (Donald Trump) Akishinda huu uchaguzi tena atakuwa ameweka rekodi 2 za kipekee, 1. Kuwazuia...
  14. Guiness World Records wagoma kutambua rekodi ya Land Rover Festival ya Tanzania

    Kwa jinsi wachuganistan walivyojiandaa na Land Rover Festival, na jinsi Media zilivyosapoti tukio hili zito, ni jambo la kushangaza kwamba Guiness World Records wameshindwa kutambua rekodi hii iliyovunjwa na watu wa Arusha, ya msafara wa magari zaidi ya 1000. Mpaka hivi sasa hawajazungumza...
  15. Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia

    Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na dakika mbili mpaka saa tatu na dakika arobaini ikawa imeisha.
  16. TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

  17. Rekodi za Makocha wa Manchester United kwenye michuano ya Ulaya tangu Fergie alipostaafu

    1. Michael Carrick Matches – 1, Wins – 1, Draw – 0, Loses – 0, Win % - 100 2. Jose Mourinho Matches – 29, Wins – 18, Draws – 6, Losses 10, Win % - 62 3. Ole Gunnar Solskjaer Matches – 35, Wins – 19, Draws – 6, Losses – 10, Win % - 54 4. David Moyes Matches – 10, Wins – 5, Draws – 3...
  18. Jitu la miraba 12 kutoka Burkina Faso lavunja rekodi ya dunia kubeba chuma kilo 231

    Raia wa Burkina Faso, Iron Biby, majina halisi, Cheick Ahmed al-Hassan Sanou aweka rekodi ya mtu mwenye nguvu zaidi duniani 2024. Hii ni baada ya Iron Biby kubeba chuma kilo 231 na kuvunja rekodi ya dunia wakati wa mashindano ya Dunia ya kuinua Magogo 2024 (WLLC)yaliyofanyika Birmingham...
  19. M

    Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

    Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo, Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu, Katika hayo tunampongeza sana...
  20. Maajabu ya Cristiano Ronaldo, afikisha magoli 900 michuano rasmi

    Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na Croatia iliyochezwa Lisbon Alhamisi hii. Soma Pia: Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…