rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    Muhimbili yaweka Rekodi nyingine ya kibingwa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji wa kutoa mfupa kwenye ubavu na kutengeneza kiungio (joint) cha taya la chini na fuvu ili kumtengenezea mgonjwa taya jipya la kulia lililoathiriwa na uvimbe. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Uso na Taya Dkt Arnold Augustino...
  2. Melubo Letema

    Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Shauri Kushiriki “Tokyo Marathon 2024” mwezi Machi

    Mwanariadha wa Kimataifa na mwenye rekodi ya Taifa kwa mbio ndefu, kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Magdalena Crispine Shauri anatarajia kushiriki na kushindana kwenye mbio za TOKYO MARATHON 2024 yanayotarajia kufanyika Jumapili tarehe 03:03:2024 huko Tokyo Japan. Kwenye mbio hizo...
  3. Muuza madafu wa Ikulu

    RECORD: Yanga yaweka Rekodi nyingine Afrika

    Young Africans SC imekuwa Klabu ya kwanza Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha watazamaji Milioni 100 na wafuasi Laki 5.7 kwenye mtandao wa YouTube (YangaTV) #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
  4. Melubo Letema

    Jackline Sakilu avunja rekodi ya taifa ya Magdalena Shauri

    Jackline Juma Sakilu AVUNJA Rekodi ya Taifa kwa sekunde 33, kwenye Mbio Ndefu za Kilomita 21, Kwa kushika nafasi ya Tatu Kwa Muda wa 1:06:04 (Half Marathon) Tarehe 24/02/2024 , Rekodi ya Taifa ambayo iliyokuwa inashikiliwa na Magdalena Shauri kwa muda (1:06:37) toka tarehe 21 February 2020...
  5. M

    Mechi ya Yanga na Belouizdad imeweka rekodi hizi

    Yanga imekua timu ya kwanza kufunga idadi ya goli 4 na Belouizdad kuwa timu ya kwanza kufungwa goli 4 katika hatua ya makundi kwa msimu huu katika CAF Champions league. Hongera Yanga kwa rekodi hii. Kwa kifupi, hakuna timu iliyowahi kufunga goli nne katika mechi moja katika hatua ya makundi...
  6. The Sheriff

    Je, chama unachokiunga mkono kinawakilisha maslahi ya wananchi wengi, au kinazingatia maslahi ya kikundi fulani tu?

    Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata kuhusu ikiwa vyama hivi kweli vinawakilisha kikamilifu maslahi ya umma au vinazingatia tu maslahi...
  7. Crocodiletooth

    Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

    Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023. Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo...
  8. BARD AI

    USHER avunja rekodi ya kutazamwa zaidi kwenye tamasha la Super Bowl Half Time

    Tamasha la nyota wa muizki wa R&N, Usher katika Super Bowl LVIII ndio Onyesho la Halftime lililotazamwa zaidi katika historia. Siku ya Jumanne, Front Office Sports iliripoti kwamba kipindi cha dakika 13 kilikuwa na wastani wa kutazamwa mara milioni 129.3. Rekodi ya awali ilikuwa ya Rihanna wa...
  9. JanguKamaJangu

    Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

    Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukizidisha mahitaji hayo ya silaha. Poland ambayo iko katika harakati za kupanua jeshi lake, ilifanya...
  10. Venus Star

    Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote

    Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote ni hizi hapa:
  11. Trubarg

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Habari wadau. Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana. Tips muhimu za kuishi maisha...
  12. THE FIRST BORN

    Manchester United Yaendeleza Rekodi yakutokufungwa Siku ya Boxing Day Yaipasua Aston Villa 3-2

    Club Ya Manchester United Alimaarufa Mashetani Wekundu imepata Ushindi katika Mchezo wake dhidi ya Aston Villa ambapo Mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Old Trafford. Aston villa walikua wa kwanza kutangulia kupata goli 2 kupitia kwa Captain McGinn na Dendoncker Lakin Man Unuted ikafanya...
  13. J

    Israel anapata wapi hiki kiburi? Ameweka rekodi ya kuuwa wafanyakazi wengi zaidi wa UN na waandishi

    Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel...
  14. Wizara ya Afya Tanzania

    Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  15. MDAU TZ

    LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

    Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
  16. sky soldier

    Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

    Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa. ile ya 5-0 timu zilishalipizana 1968: Yanga 5-0 Simba 1977:Simba 6-0 Yanga 2012: Simba 5-0 Yanga 2023:Simba 1-5 Yanga
  17. JanguKamaJangu

    Bondia Fadhili Majiha avunja rekodi ya Mwakinyo kwa kufikisha nyota 4.5

    Bingwa wa ndondi Mkanda wa WBC Afrika, Fadhili Majiha na bondia namba moja Tanzania 'Kiepe Nyani' ameweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kupata hadhi ya nyota nne na nusu tangu nchi ipate uhuru huku akivunja rekodi ya Hassan Mwanyiko na Tony Rashid katika mtandao wa Boxrec. Majiha ameweka...
  18. CAPO DELGADO

    Kama ni hivi sasa itakuwaje rekodi ya kipekee ya Simba

    MACHO na masikio yote ya mashabiki wa soka nchini kwa sasa yameelekezwa katika mchezo mkali na wa ‘Derby ya Kariakoo’ utakaozikutanisha Simba itakayokuwa wenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumapili hii ya Novemba 5, unaweza kujiuliza itakuwaje? Kwa kuwa rekodi Jumapili zipo upande...
  19. Mhaya

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House. Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani. Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
  20. D

    Kelvin Kiptum ashika rekodi mpya ya dunia katika marathon huko Chicago (2:00:35). Kipchoge kwisha habari yake!

    Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09). Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
Back
Top Bottom