Leo nimeamua niweke katika kumbukumbu matokeo ya hii mechi ambayo hayanukuliwi mara nyingi kwa kuwa labda ilikuwa ni mechi ya mwisho katika msimu wa 2008/2009 tarehe 27/04/2009 kati ya timu ndogo ya Villa Squad iliyokuwa imeshashuka daraja dhidi ya Yanga iliyokuwa imeshanyakua ubingwa, na...
Katika kipindi cha miaka 5 Simba ndio klabu bora Afrika Mashariki kwa hatua walizopiga michuano ya Kimataifa ya CAF.
Hatua ya makundi na Robo Fainali mara 4. Yanga itawachukua miaka 4 hadi 5 kuifikia hatua hii ya Simba.
Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998.
Most goals conceded in group stage (single...
Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa?
Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
Kitendo cha ZlatanI Ibrahimovic kucheka na nyavu akiwa na AC Milan kimeweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Ligi Kuu ya Italia ‘Serie A’ kufunga goli.
Akiwa na umri wa miaka 41 na siku 166 amerejea uwanjani baada ya kuwa nje kwa miezi 14 alipokuwa...
Hii ni rekodi ya vipigo vikali kuwahi kutolewa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika.
Tulichofanya leo ni kuvunja rekodi ya Raja kumchapa Utopolo goli 6.
1998: 🇲🇦Raja [6-0] 🇹🇿Yanga
2001: 🇮🇪ASEC Mimosas [7-0] CR 🇩🇿Belouizdad
2019: 🇨🇩TP Mazembe [8-0] 🇹🇳Club Africain
2023: 🇹🇿Simba [7-0]...
Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani.
Kwa mujibu wa Guinness, Watoto hao wamezaliwa zikiwa zimesalia Wiki 18 kufika Wiki 40 zinazotakiwa Kiafya kwa Mama Mjamzito kuwa...
Leo hii Lebron James anaivunja rekodi hiyo na atakuwa kinara wa mabao huko NBA kwa sasa King 👑 James hana mpinzani na inaaminika huenda akajengewa sanamu lake pale Ikulu ya Marekani.
Huyu Lebron ni kama ujumuishe Curry, Jordan, Magic, Shaquille na Durant ndio upate kiwango chake hivyo unaweza...
Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964.
1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya
Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980.
Kwa mara pili...
Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube.
Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63 ndani ya saa 24, na kuifanya kuwa wimbo wa Kilatini uliotazamwa zaidi katika kipindi hicho.
Shakira...
Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika mitandao ya kijamii yote kwa jumla kuwahi kutokea.
Picha hiyo ina likes milioni 67.5 imeivunja rekodi ya...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Tanzania imekuwa ni nchi ya kwanza kuweka mtandao katika kilele cha mlima mrefu. Rekodi hiyo imekwa baada ya serikali kuweka mtandao katika kilele cha mlima Kilimanjaro ambalo limeifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza...
Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon
Leo tarehe 4/12/2022, mtanzania Gabriel Geay (26) aweka rekodi mpya ya taifa kwa mbio za km 42 (Marathon) huko Valencia, Spain. Geay kamaliza mbio hizo akiwa wa pili kwa muda wa masaa 2:03:00 ambayo ni muda wake binafsi bora zaidi pia...
Shule ya Msingi Laalakir iliyopo Kijiji cha Partimbo, Kata ya Partimbo wilayani Kiteto Mkoani Manyara, imekuwa na matokeo ya alama "A" kwa miaka 10 mfululizo na kushika nafasi ya kwanza kiwilaya na kimkoa na haijawahi kufelisha mwanafunzi
Wanafunzi waliofanya mtihani mwaka 2022 ni 36, kati ya...
Beki huyo anatarajiwa kuiongozi timu yake ya taifa katika mchezo wa kukamilisha Hatua ya Makundi dhidi ya Cameroon, leo Desemba 2, 2022.
Alves (39), beki wa kulia ambaye anaichezea UNAM Pumas ya Mexico atapewa nafasi hiyo kwa kuwa tayari timu yake imeshakata tiketi ya kucheza Hatua ya 16 Bora...
Kwenye Cup Competitions unahitaji zaidi defense; unaweza ukawa timu mbovu ila kama una discipline na unapaki basi matuta yanaweza yakakufikisha mbali.
Sasa huyu Kocha tangia achukue timu hapo 2nd September; Hajafungwa Goli hata Moja.... (5 Clean Sheets).
Belgium 0 - 2 Morocco; Morocco 0 - 0...
Leo Novemba 15, 2022, idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia watu Bilioni 8, ambayo ni hatua muhimu katika maendeleo ya binadamu.
Ukuaji huu ambao haujawahi kushuhudiwa unatokana na ongezeko la taratibu la maisha ya binadamu kutokana na kuboreshwa kwa afya ya umma, lishe, usafi wa kibinafsi...
Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.
Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu...
Accidents and incidents
The ATR 72 has been involved in 46 aviation accidents and incidents including 29 hull losses,[74] resulting in 398 fatalities.[75]
This list is incomplete; you can help by adding missing items. (October 2022)
Accidents with fatalities
Date
Flight
Fat.
Surv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.