rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Simiyu yavunja rekodi ukusanyaji wa Mapato 2021/22

    Mkoa wa Simiyu wafunga mwaka wa fedha unaoishia Juni30, 2022 kwa kuvunja rekodi ya makusanyo ya Halmashauri, Simiyu imekusanya 14.2bn sawa na asilimia 108% kulinganisha na makusanyo ya 10.9bn sawa na asilimia 76% mwaka ulioisha Juni30, 2021. Huku Maswa ikiongoza kwa makusanyo ya asilimia...
  2. sinza pazuri

    Zuchu ataweka rekodi mpya kwenye project yake mpya ya 4-4-2

    Zuchu anaenda kuachia project mpya ya 4-4-2. Kama kawaida queen huyu wa bongofleva na msanii namba moja wa kike Africa mashariki na kati anaenda kuandika rekodi mpya kama kawaida yake. Huyu mtoto ni wamoto sana na anaubeba kwa mikono miwili muziki wetu wa Africa mashariki ndio maana sina shaka...
  3. Nyankurungu2020

    Tunaweka rekodi sawa, Hayati Magufuli alikuta ukusanyaji mapato upo chini akakusanya na kuyatumia vyema. Je sasa? Voyages

    Inasikitisha sana kwa nini watu wanakuwa na tafsiri tofauti juu ya mtu kuzungumzia ukweli wa suala husika. Lakini mtu anakuwa na povu ambalo halihusiki kabisa. Nani asiyejua kuwa hayati JPM ndio alianzisha mfumo kuwa mapato yote ya serikali yawe centralized na pesa zote ziingie hazina. Huko...
  4. JanguKamaJangu

    Timu ya Serengeti Girls yaweka rekodi Bungeni leo Juni 07, 2022

    Serengeti Girls imekuwa timu ya kwanza kukaa eneo maalum wanalokaa wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 7, 202 Timu hiyo imealikwa bungeni baada ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia litakalofanyika India Oktoba 2022.
  5. The Sunk Cost Fallacy

    Rekodi nyingine bandari ya Mtwara: Meli kubwa kutoka Uholanzi yatia nanga tayari kusafirishia shehena ya Makaa ya Mawe

    Chini ya wiki 2, Bandari ya Mtwara imeweka rekodi mpya kwa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba Tani elfu 60 za Makaa ya Mawe.(60,000). Meli hiyo imetia nanga tayari kupakia Makaa ya Mawe kutoka kampuni ya Mwekezaji mzawa Ruvuma Coal Mining Limited. Hii ni baada ya Meli nyingine ya Uswisa...
  6. Getrude Mollel

    Mna macho lakini hamuoni, Rais Samia Suluhu ameweka rekodi nyingine

    Bila shaka mmeona viwango vipya vya mafao kwa wastaafu ambavyo vimetangazwa hivi majuzi. Ikumbukwe kwamba, Rais Samia anasiku 433 madarakani na amefanya mambo makubwa sana kana kwamba amekaa madarakani miaka 5 au 10. Ngoja niwape na hii leo.. Picha linaanza kwamba, Kikokotoo kipya cha mafano ya...
  7. mr gentleman

    Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

    STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿 Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay...
  8. Econometrician

    Mfumko wa bei wagonga rekodi mpya katika kanda ya Euro

    Mfumko wa bei umegonga rekodi mpya katika nchi 19 za ukanda unaotumia sarafu ya Euro. Hali hiyo imesababishwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta kufuatia vita nchini Ukraine. Katika mwezi huu wa Aprili, mfumko wa bei umefikia asilimia 7.5 kiwango ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa tangu...
  9. Christopher Wallace

    Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

    Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
  10. MK254

    Gawio la mabenki ya Kenya lavunja rekodi mpya, Bilioni 51.7

    Hili soko linatisha balaa..... Na sasa tumeteka DRC ============================ Local listed banks nearly trebled their dividend payout for the 2021 financial year, rewarding shareholders who have seen a mixed performance in capital gains on their stock in the period. The nine lenders...
  11. Cannabis

    Ibraah wa Konde Gang aweka rekodi ya kihistoria YouTube

    Msanii Ibraah kutoka Konde Gang ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuweka video ya wimbo wake mpya uitwao "rara". Wimbo huo umeweka rekodi ya kupata views zaidi ya laki tatu chini ya dakika moja. Rekodi hiyo inasemekana ni ya kwanza kutokea kwa msanii wa Afrika Mashariki na kati. Mpaka...
  12. Melubo Letema

    Emanuel Giniki Gisamoda Avunja Rekodi ya Mashindano ya Warsaw Peace Half Marathon huko Poland (1:00:30)Leo.

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania, Emanuel Giniki Gisamoda Ameshinda Mbio za "Warsaw Peace Half Marathon 2022" kilomita 21 Nchini Poland, Kwa Kutumia Muda wa Saa Moja na sekunde thelathini (1:00:30) iliyodumu Miaka 8 Kwa sekunde kumi na Tisa. Tukumbuke Emanuel Giniki, Mwaka huu...
  13. Replica

    Mfumuko wa bei Marekani waweka rekodi mpya toka mwaka 1982, Tanzania tunajiaandae?

    Wakati dunia ikianza kupata afueni kutokana na Covid, ghafla inaingia vita ya Russia VS Ukraine na mataifa makubwa ya magharibi yanaungana pamoja kuiwekea vikwazo Urusi. Tofauti na mataifa mengine yanayowekewa vikwazo, Urusi ni namba mbili kwa uzalishaji wa nishati duniani huku mteja wake mkubwa...
  14. Venus Star

    Rekodi ya Simba miaka minne ya makombe

    Simba SC 🏆🏆🏆🏆 NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC: 👉 2017/2018 Ponti: 62 Goli za kufunga: 62 Goli za kufungwa: 15 Mfungaji bora:Okwi ⚽ 20 Bingwa: SIMBA 👉 2018/2019 Point: 93 Goli za kufunga:77 Goli za kufungwa: 15 Mfungaji bora: Kagere ⚽ 23 Bingwa...
  15. N

    Rekodi nyingine tena ya Simba Afrika: Yanga haipo

    Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group stages Haya sasa ifuatayo ni lists ya teams zlizocheza mechi nyingi zaidi kwenye hatua ya makundi...
  16. beth

    Marekani: Mahakama ya Juu yamkataa Trump, yakubali rekodi za White House kutolewa

    Mahakama ya Juu Nchini humo imekataa ombi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Donald Trump la kuzuia kutolewa rekodi za White House kwa jopo linalochunguza vurugu zilizofanywa na wafuasi wake eneo la Bunge. Amri ya Mahakama inamaanisha zaidi ya Hati 700 zinaweza kutoa mwanga juu ya matukio...
  17. Gordian Anduru

    Linganisha rekodi hizi za Simba na Yanga

    1. YANGA ndiyo timu ya kwanza Tanzania kucheza mashindano rasmi ya CAF walicheza klabu bingwa mwaka 1968 wakati simba ndiyo timu ya kwanza kupanda ndege mwaka 1963 walienda Ethiopia kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo kucheza ndondo. 2. YANGA ndiyo timu ya kwanza kutinga robo fainali ya CAF...
  18. Roving Journalist

    TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

    Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani. Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia. Makofi kwake
  20. Frumence M Kyauke

    Mfahamu Chandra Bahadur Dangi mwanaume mfupi zaidi duniani aliyewahi kuingia kwenye rekodi ya Guinness

    Chandra Bahadur Dangi (30 November 1939 – 3 September 2015) (Nepali: चन्द्रबहादुर डाँगी, pronounced [t͡sʌndrʌˈbʌɦadur ˈɖãŋɡi], or [t͡sʌndraˈbaːdur ˈɖãŋɡi] alikuwa mwanamume wa Kinepali ambaye alikuwa mwanamume mfupi zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza...
Back
Top Bottom