Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
Mwanariadha pekee wa Tanzania wa kike, Magdalena Shauri ameshika nafasi ya Tatu na kuweka rekodi ya Taifa kwa kukimbia muda wa 2:18:41 katika mashindano ya berlin Marathon Leo huko Ujerumani.
===
Assefa clocked 2hr 11min 53sec, more than two minutes ahead of the previous world mark of 2:14:04...
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?
To...
Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano ya kimataifa.
Mwanariadha huyo Nasra Ali Abukar, alikimbia na alivuka mstari wa kumaliza kwa sekunde...
Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya kuhitaji saini ya nyota huyo.
Mbappe aliyebakiza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia PSG, amedaiwa...
Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30.
Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja.
Takwimu za timu hiyo:
Mechi 30
Ushindi 00
Sare 04
Kupoteza 26
Pointi 04
Raia wa Nigeria, Tembu Daniel maarufu kama ‘Towncryer’ ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42.
Ash
Kuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.
Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa?
UEFA Champions League
5 Karim Benzema (Real Madrid)
5 Dani Carvajal (Real Madrid)
5 Luka Modrić (Real Madrid)
5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid)
4 Gareth Bale (Real Madrid)
4 Casemiro (Real Madrid)
4 Andrés Iniesta...
Kuwa mshindi wa Guinness World Record hakuna faida zozote za kifedha kama zawadi pale unapofikia record fulani katika nyanja mbalimbali. Hata hivyo unapatiwa hati maalumu ya utambuzi ambayo inakubalika na kutambulika kimataifa; hivyo mshindi kwa kupitia hati hiyo anakuwa amefanikiwa kujulikana...
Kwenye rekodi ya timu ya kwanza kuchukua ubingwa ligi ya Tanganyika inasomeka SUNDERLAND lakini Simba wanadai ndiyo wao ila jina limebadilika
Fainali ya CAF CUP 1993 SImba wanadai ndiyo CAF CONFEDERATION CUP ila JINA LIMEBADILIKA
kwanini nyie ndugu zangu rekodi zenu mpaka kuderive derive?
Kampiga na kumtoa nje ya michuano Mwarabu (Club Africain), hakuna timu Tanzania imewahi kumfunga Mwarabu akiwa kwenye ardhi ya nyumbani kwake ndani ya dk. 90!
Kampiga Rivers nyumbani kwake ambapo alikuwa hajawai kufungwa tokea 2021 kwenye uwanja wake wa nyumbani, tukumbuke na Whydad Casablanca...
Wasalaam.
Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho.
Nawasilisha.
Kuna masela wawili pale jangwani waliofanikiwa kuipata chemchem baada ya miaka 88 na wananchi rasmi kuanza kuiota bahari katikati ya jangwa. Hawa ni viongozi wangu ila ni masela wenzangu pia.
Wakati waanza masela hawa kila mtu hakuwa na imani nao kama wateza kupata maji jangwani na badala yake...
Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998
Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora
Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana huishia robo fainali yaani ile ile 8 Bora walioishia
Yanga, miaka ishirini na tano sasa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhi tuzo ya OSHA mshindi wa jumla wa maonesho hayo Mkufunzi wa Usalama mahali pa kazi wa Barrick Bulyanhulu, Azaely Kitenge (katikati) ni Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Dkt. Adelhelm Meru...
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco.
Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
Mechi 10 zilizopita baina ya Simba dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara tangu Msimu wa 2017/18, kila timu imeshinda mechi 2 huku sare zikiwa ni 6.
29/04/2018: Simba 1-0 Yanga
30/09/2018: Simba 0-0 Yanga
16/02/2019: Yanga 0-1 Simba
04/01/2020: Simba 2-2 Yanga
08/03/2020: Yanga 1-0 Simba...
Lucas Helmke (33) ameweka rekodi hiyo katika ukumbi wake wa mazoezi uliopo Brisbane kuvunja rekodi iliyowekwa na raia mwenzake wa Australia, Mwaka 2022.
Kila push up ilibidi isiwe na dosari ili kufikia viwango vinavyohitajika kwa rekodi rasmi ya Dunia, akitakiwa kuuweka sawa mwili wake...
Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga.
Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.