ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, leo Desemba 2, 2024, amesema Tanzania itakuwa nyuma ya China, Uhispania, Japan katika kuwa na reli...