reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Fursa ya uwekezaji Reli na barabara kwenda Zambia baada ya hili

    https://www.cnbc.com/2024/02/05/bill-gates-backed-miner-discovers-large-scale-copper-deposit-in-zambia.html
  2. A

    Shirika la reli (trc) acheni uhuni

    Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila imekwama maeneo ya same pasipo shirika la reli kutoa taarifa kwa uma au abiria huku wananchi...
  3. K

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
  4. K

    Watanzania tumeletewa Nabii Lovy tutoke nje ya reli

    Watamzani tunapotezwa kirahisi Sana. Tumeletewa Prophet kutoka sijui wapi huko na tumeanza kuaminishana ni mtamzania! Alikua mwanamuziki ila kakutana na Yesu (Yesu ni uongo), kajaza uanja na watu wametolewa mapepo!?!?! Kuna kipi kipya!?! Watanzania ni wajinga sana. Tumesahau kuhusu Vice...
  5. Roving Journalist

    Mkandarasi wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi atangaza zoezi la kupunguza wafanyakazi 648

    TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI) TAREHE 25/11/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
  6. JanguKamaJangu

    Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania watoa siku 30 kwa Uongozi la sivyo watatangaza mgogoro

    Baraza Kuu Maalum la Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, limetoa siku 30 kwa uongozi wa shirika hilo kuweka mkataba wa hali bora kwa Wafanyakazi ambao rasimu yake ilishakuwa tayari tangu Februari 2023, tofauti na hapo watatangaza mgogoro na Mwajiri wao (TRC). Baraza hilo limetoa...
  7. Mangi wa Rombo

    Shirika la Reli (TRC) ndio limegoma kabisa kulipa kiinua mgongo "mkono wa kwa heri" kwa wastaafu wake?

    Habari! Nimekutana na mzee mmoja mstaafu wa shirika la reli (TRC) ambaye alistaafu rasmi mwaka 2020. Huyu mzee wakati ana staafu alikuja kwangu kunikopa hela, hakikuwa kiasi kikubwa sana, na alihaidi kukirejesha pindi tu atakapolipewa pesa zake za kiinua mgongo ama "mkono wa kwa heri" kama...
  8. benzemah

    Tanzania na China kushirikiana kuboresha Shirika la reli Tanzania

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara, amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana Serikali ya China, zinatarajia kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kuliwezesha kuongeza ufanisi hususani katika usafirishaji wa mizigo. Profesa Kahyrara ameyasema...
  9. Lycaon pictus

    Reli ya Usambara na vita ya Tanga

    Reli ya Usambara, Moshi-Tanga ndiyo reli ya kwanza kujengwa ndani ya Tanganyika. Ilijengwa miaka ya 1890's. Reli hiyo ilianza kujengwa na kampuni binafsi na baadaye ikachukuliwa na serikali ambayo iliimalizia hadi Arusha. Lengo kuu lilikuwa kuunganisha bandari ya Tanga na eneo la kaskazini...
  10. A

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni. TAZARA 1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76). Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7. CnP
  11. Roving Journalist

    Baada ya malalamiko mengi Mkandarasi wa Reli ya SGR atangaza kufuta mpango wa kupunguza Wafanyakazi

    KUFUTWA KWA ZOEZI LA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI TAREHE 23/10/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVIAS TABORA MAKUTOPORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Kufuatia malalamiko mengi kuhusa zoezi hili hasa namna ya uchaguzi wa waathirika wa zoezi hili, Uongozi umefuta zoezi hili hadi pale utaratibu...
  12. A

    DOKEZO Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi chochote

    Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu. Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama...
  13. Msanii

    Kwanini reli ya Kusini ilisitishwa? Kuna jambo tunafichwa?

    Tanzania huwa haina utaratibu wa kuachia nyaraka za siri zinapofikia umri wa kueksipaya (Declassified) Kuna mtu mmoja kutoka serikali ya Uingereza alinisimulia kashfa kubwa ambayo ingegharimu sana reputation ya Malkia wa Uingereza. Jambo lenyewe lipo hivi. Baada ya Vita ya Pili ya dunia...
  14. Wimbo

    Maandalizi ya kubinafsisha Bandari yalikuwa makubwa, sasa ni reli

    Mheshimiwa Posi nimekusikiliza vizuri kipindi cha jambo na nimesoma citizen ninakukupa maua yako toka nyota yako ilipong'ara serikali ya awamu ya Tano umefaa kila kona uliyopelekwa kutumikia Taifa, naamini unaweza kuishauri serikali ikakusikia kama mwana uchumi. Hivi inaingia akilini kweli...
  15. Roving Journalist

    Mkandarasi Reli ya SGR asema sababu za Wafanyakazi kutoingiziwa malipo ya NSSF ni kwa kuwa kuna makubaliano maalum

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika andiko akilalamikia juu ya Mkandarasi Mkuu anayejenga Reli ya SGR, Yapi Merkezi kutowaingizia wafanyakazi wake malipo ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa zaidi ya miezi 9, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi akisema kuna makubaliano...
  16. A

    DOKEZO Serikali ikague ubora wa Ujenzi wa Reli ya SGR Lot 3. Tunaandaliwa kupigwa na kitu kizito siku za usoni!

    Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu. Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi...
  17. Roving Journalist

    TRC yaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora - Isaka

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023. Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
  18. N

    Je, ni kweli kampuni ya Yapi Merkezi imekumbwa na ukata wa pesa hivyo kuathiri ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)au Serikali ya Tanzania inaficha ukweli?

    Tanzania inatafakari Mpango B kwa ajili ya mradi wake wa SGR huku kampuni ya Uturuki ikiachwa. Mawaziri wa fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa reli ya standard gauge (SGR) baada ya mkandarasi mkuu wa kampuni ya Uturuki Yapi Merkezi kuonyesha dalili...
  19. S

    Mkutano wa G20 Waunga Mkono Kujengwa Reli ya Kutoka DRC na Zambia Mpaka Angola

    Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola. ===== African Union now a permanent G20 member The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday. There was...
  20. Wildlifer

    Kwanini Treni ya kasi Dar to Moro hadi leo haijaanza safari zake?

    Treni ya mwendokasi kutoka dar hadi Morogoro imekua ikisemwa itaanza kwa nyakati tofauti tofauti mara kwa mara lakini hadi leo bado haijaanza, nini hasa sababu ya msingi ya kutoanza kwake kazi?
Back
Top Bottom