Kiukweli mie ni mmoja wa waliofurahishwa na mchakato wa kubinafsishwa bandari ya Dar es salaam.
Wadau sote tunajua kuna uvujaji mkubwa wa mapato pale port unaotokana na urasimu, ucheleweshaji mizigo, rushwa, Wizi, ukwepaji kodi na hivyo serikali kuambuliakidogo huku kipato kikubwa kiki toroshwa...