Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.
Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili...