report

A report is a document that presents information in an organized format for a specific audience and purpose. Although summaries of reports may be delivered orally, complete reports are almost always in the form of written documents.

View More On Wikipedia.org
  1. kidereko

    Kuhusu upotevu wa Id na loss report

    Morning, Wakuu nimepoteza vitambulisho vyangu vya benki na NIDA, kwa upande wake benki,je inatakiwa nianzie polisi au niende bank kwanza labda Kuna karatasi watanipa yakwendanayo polisi!? Na je kwa NIDA hadi nije kupata kitambulisho kingine siitachukua miaka, maana naona Kuna watu Hadi leo...
  2. Roving Journalist

    Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
  3. Lanlady

    Ripoti ya uchafuzi mto Mara, ukweli uko wapi?

    Taarifa ya uchafuzi wa mto mara na kufa kwa samaki, je taarifa iliyotolewa imejaa siasa au uhalisia? Au ni mkakati maalum kama tulivyoanza na machinga (wanachafua jiji) tukaja kwa wamasai ngorongoro wamevamia mbuga, sasa ni zamu ya wanaoishi kandokando ya mito, na pengine hatmaye ni tz nzima...
  4. Light saber

    Russia moves blood and medical supplies near Ukraine, possibly in preparation for a major military operation: report

    Russia has added blood supplies to its military buildup on Ukraine's border, Reuters reported. This could be another sign its planning to invade, experts said.The supplies could be used to treat casualties if Russia invades. In another sign it could be preparing to invade, Russia has now...
  5. R

    Loss report mtandaoni: sipati control number

    Nimejaza smoothly kila kitu, ikija kweye control number inagoma kutoa control number. Nifanyeje kupata control number
  6. R

    Msaada: Namna ya ku register police loss report online

    naomba mwenye kujua namna ya kusajiri mali iliyopotea onlie anisaidie ie police loss report online register. Nikijaribu kufungua link inanipa error. How do i proceed?
  7. IslamTZ

    NEW REPORT: Monitoring the Watchdog: How the media covered the 2020 elections

    Kwa wasomaji, pokeeni (attached) ripoti mpya iliyosambazwa leo hii iitwayo: 'Monitoring the Watchdog: How the media covered the 2020 elections'
  8. N

    Project management

  9. luangalila

    Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

    Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani
  10. jollyman91

    Irked by Iran’s growing oil sales, US resorts to piracy: Report

    A report says that stealing oil cargoes is a last-ditch effort by the US to prevent Iran’s growing sales. The United States has resorted to pirating Iranian oil cargoes as it has failed in its various attempts to cut the country’s oil exports to zero through its regime of sanctions, says an...
  11. S

    Congo's $6 billion China mining deal 'unconscionable', says draft report

    Congo's $6 billion China mining deal 'unconscionable', says draft report
  12. Don YF

    Kenya is the fourth African country with the wealthiest individuals after Nigeria, South Africa, and Egypt - Report

    The Swiss Investment Bank's Research Institute has released a new report that ranked Kenya as the 4th African country with the highest concentration of wealthy individuals after Nigeria, South Africa, and Egypt. According to the report, Credit Suisse's 12th edition of the Global Wealth Report...
  13. jollyman91

    UK looking at deal to remove China from nuclear project: Report

    Uengereza inatafuta njia na mbinu ya kuwezakumtoa Mchina katika dili ya Nyuklia. The UK is closing in on a deal that would remove China from involvement in building a new nuclear power station on the Suffolk coast, eastern England, alongside France's EDF, according to the Guardian. The deal...
  14. I am Groot

    Tanzania; katika world happiness report 2021

    'Tanzania bado tuko njia sahihi'. Sijui kama bado tuko njia sahihi. Kama ilivyo ada kila mwaka hutolewa takwimu kuonyesha kiwango cha furaha duniani kulingana na nchi. Katika takwimu ya mwaka 2021 ya nchi zenye furaha zaidi duniani Finland imeendelea kuwa nchi bora kabisa kuishi na kuendelea...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

    Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini. Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
  16. Burungutu lebba

    Mwenye uzoefu na Certified Cognitive Report kama interview

    Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye moja ya NGO inayofanya kazi nchini...moja ya vigezo vyao ni kuwa na cherti rasmi Cha mtihani wa kipimo Cha maarifa online..ni interview za kisasa hizo… Sasa link waliyonipa kupata cheti hicho sio Chini ya laki moja mpaka unakipata..lakini sijawa limited...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Police online loss report hamna kitu, ni uozo mtupu

    Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved. Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved...
  18. wazanaki

    ERB report, kwa anayefahamu taratibu za kuandaa na kukamilisha engineering reports

    wakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer, amefanya kazi miaka mitano kwenye kampuni ya mambo ya umeme, na sasa anaandika report ya kuwasilisha ERB ili aweze kusajiliwa awe professional engineer. je taratibu ni zipi. kuna mtu anafahamu taratibu zozote?
  19. B

    Tanzania LHRC - Uzinduzi wa report ya haki za binadamu na biashara 2020/2021

    UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021 Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
  20. D

    Nakujuza tu kama hujui hivi; Ukipoteza ufunguo wa nyumbani kwako hutakiwi kuvunja komeo/mlango wako bila Ripoti ya Polisi (Loss Report)

    Tunakumbushana tu wadau, ni hivi: Kama ukipotelewa na funguo wa mlango nyumba yako, ofisi yako au ofisi ya umma au sehemu inayofunguliwa kwa ufunguo! Huruhusiwi kuvunja hilo komeo/kitasa bila kutoa taarifa polisi! (Loss report) ni utaratibu wa kawaida kabisa wadau nawakumbusha! Pili; Hata...
Back
Top Bottom