Morning,
Wakuu nimepoteza vitambulisho vyangu vya benki na NIDA, kwa upande wake benki,je inatakiwa nianzie polisi au niende bank kwanza labda Kuna karatasi watanipa yakwendanayo polisi!?
Na je kwa NIDA hadi nije kupata kitambulisho kingine siitachukua miaka, maana naona Kuna watu Hadi leo...