Kama wewe ni mwanafunzi au mtu unayetaka kujifunza kuandaa research na kuzioffer kwenye majukwaa ya freelancing kama upwork, Fiverr na Linkedin lakini huelewi baadhi ya concepts zinazotumika huko gather here.
Kabla hujaanza kufanya research yako, ni muhimu kufahamu kuwa kuna aina mbalimbali za...