Usipende kushinda mwenyewe, yatakukuta haya

Usipende kushinda mwenyewe, yatakukuta haya

FestoKaguo

Senior Member
Joined
Apr 1, 2022
Posts
128
Reaction score
202
All I know is that " Huwezi kujua kama hujui kitu mpaka utakapokutana na watu wengine waliopo kwenye field yako wakashare some tips ambazo wewe unajikuta huzijui ndio utajua kuwa aah! kumbe hiki nilikuwa sikijui"

Maana yake nini, ukiamua kujifungia peke yako mda mwingi pasipo kujichanganya na wenzako itakufanya uende haraka tu ila kujifunza vitu vipya ndio sahau wahenga walisema Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako ila ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako.

Wakati nafanya research writing nilikuwa sijui tools kama Atlasi.Ti mpaka nilipokutana na Sheila Msangi ndio akanitonya kuwa ni tool bora for qualitative research so what if ningebaki mwenyewe nakomaa si ningekuwa natumia oldways kufanya kazi zangu ningeendelea na tools kama Nvivo, Excel na SPSS tu.
20250322_001204.jpg


Pichani hapo hiyo ni external hard disc nimeshaweka setup ya Atlas.Ti na tutorial zake tayari kwa kuzisoma this weekend. Sema hatupoi na hatuboi.
 
Back
Top Bottom