🤣🤣🥱Watu wameona msimbazi hakuna kingine
Lipia TangazoAll I know is that " Huwezi kujua kama hujui kitu mpaka utakapokutana na watu wengine waliopo kwenye field yako wakashare some tips ambazo wewe unajikuta huzijui ndio utajua kuwa aah! kumbe hiki nilikuwa sikijui"
Maana yake nini, ukiamua kujifungia peke yako mda mwingi pasipo kujichanganya na wenzako itakufanya uende haraka tu ila kujifunza vitu vipya ndio sahau wahenga walisema Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako ila ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako.
Wakati nafanya research writing nilikuwa sijui tools kama Atlasi.Ti mpaka nilipokutana na Sheila Msangi ndio akanitonya kuwa ni tool bora for qualitative research so what if ningebaki mwenyewe nakomaa si ningekuwa natumia oldways kufanya kazi zangu ningeendelea na tools kama Nvivo, Excel na SPSS tu.
View attachment 3279386
Pichani hapo hiyo ni external hard disc nimeshaweka setup ya Atlas.Ti na tutorial zake tayari kwa kuzisoma this weekend. Sema hatupoi na hatuboi.
Nitaiandikia uzi ila kwenye quantitative natumia SPSS na kwenye Qualitative huwa tunatumia Nvivo au Atlasi.ti ila atlasi.ti ndio rahisi ukifananisha na NvivoChief,ebu jaribu kuifafanua iyo atlas.T1 coz SPSS is best for quantitative
Tangazo la nini mkuu?Lipia Tangazo
ShukraniHakika..
Tuko pamoja
Makosa ya kiuandishi SPSS natumia Quantitative ila ikija Mixed au Qualitative natumia Atlasi.ti au Nvivo ahsante kwa kunikumbusha shukrani sana ni makosa ya kiuandishiNdugu mtafiti qualitative research data analysis kwa SPSS
Unatuuza kwakweli
Hiyo ni laki sema zimetoka bank niliziweka kwa pamoja mkuu 🤣🤣Watu wameona msimbazi hakuna kingine
Huo ulikuwa wa kutumia weekend 😂Naona kuna mteni umezagaa zagaa hapo.
Unaweza kuelezea zaidi?
Safi sana.Huo ulikuwa wa kutumia weekend 😂
Atlasi.ti au huo m Ten?Safi sana.
Naomba maelekezo zaidi namna ya kutumia hiyo kitu.
Hahaha!Atlasi.ti au huo m Ten?