rhumba

Rhumba, also known as ballroom rumba, is a genre of ballroom music and dance that appeared in the East Coast of the United States during the 1930s. It combined American big band music with Afro-Cuban rhythms, primarily the son cubano, but also conga and rumba. Although taking its name from the latter, ballroom rumba differs completely from Cuban rumba in both its music and its dance. Hence, authors prefer the Americanized spelling of the word (rhumba) to distinguish between them.

View More On Wikipedia.org
  1. Nani ni mfalme wa Rhumba kwa sasa. Ferre Gola au Fally Ipupa.?

    FERRE GOLA: https://youtu.be/lmMoO456gXw?si=1FxvRZ5BF_2wg4nw https://youtu.be/jUc80c6IpqI?si=rYF94acrDLLggmhe https://youtu.be/M4Eho6jM_3A?si=5ZUeljiagHvM-waj https://youtu.be/cZVtH6S34wU?si=CuQJy_-MPm-DL0Dn https://youtu.be/BsU9lbPCZUQ?si=zYaSYV8bsRFIQsJT FALLY IPUPA...
  2. Hivi kuna rhumba kali kuizidi Maboko Pamba ya Fere Gola?

    Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke kulisikiliza hili dude. Je, kuna rhumba kali kuliko hiki chuma katika ulimwengu wa rhumba...
  3. B

    Mfalme Pharao ni mkali wa Swahili Rhumba

    Mfalme Pharao de Tanzanie, Le Roi de la Rhumba Mfalme Pharao - Usiwasikilize https://m.youtube.com/watch?v=3tz4RFZXwZE
  4. Congolese Rhumba thread

    Wimbo wowote wenye mahadhi ya rhumba tupia iwe kwa lugha yoyote wewe tupia tu sio lazima kilingala. Ferre gola- marathon
  5. Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana. Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu (...
  6. Kati ya 100 kilos ya Ferre Gola VS Associe ya Fally Ipupa ipi ilikuwa na bado ni ngoma kali

    Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola. Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya Associé - Fall Ipupa [Intro] Assoc, associé L'empereur Tchatcho Mbala Kashogi Ba diamants ebele...
  7. Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola? Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili...
  8. Ni Wimbo gani wa Kikongo ( Sebene au Rhumba ) uliucheza vyema 'Stejini' hadi Ukampata Mpenzi wa Kukupenda?

    Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur. Pia kila nikiupiga Wimbo wa...
  9. Ngoma kali za Rhumba: All the time Old is Gold

    Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati. Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana. 1> Bane by Oliver NGoma 2>Samba Mpangala -Marina 3> Monique Seka -Okaman 4> M. Seka -Adeba 5> O. N'Goma -Fely Etc Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee...
  10. RASMI ERRE GOLA MFALMEA WA RHUMBA DUNIA. AJAZA STADE MARTYRS.. Watu zaidi ya 200,000

    Tarehe 24.06.2023 Imetokea tukio kubwa sana katika ulimwengu wa Burudani ya mziko pale Nchini Congo. Ilikua ni onesho la karne la muziki pendwa duniani. Le Padre , Shetani Ferre Gola mwana wa Congo alikusanya Malaki ya binadamu hai wenye pumzi na akili. Ni katika kutaka kukara kiu ya muziki...
  11. Hivi Wapenzi wa Muziki wa Congo DR hasa Masebene na Rhumba hapa JF hatuwezi kuja na huu Utaratibu?

    Kwa yoyote anayekutana na Miziki ya Sebene na Rhumba (ya zamani na mipya) awe anatuwekea hapa ili Wadau Wengine tujue na tuifuatilie na hata tuwe nayo? Kama kuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda na huwa Kinanifariji na kunifanya nijione sina Shida za Kimaisha wakati ninazo kuanzia Dar es Salaam hadi...
  12. Haya Mashabiki Wenzangu wa Rhumba na Congo Music Fally Ipupa kaachia Rhumba Kali la MAYDAY

    Hapo nyuma niliwaletea Rhumba lake Kali liitwalo Se Yo na hata bado hatujatosheka na Utamu wa huo Wimbo tayari Fally Ipupa katuletea Rhumba lingine Kali na Tamu liitwalo MAYDAY. Litafuteni haraka ili mlisikilize ila kwa Mimi GENTAMYCINE sasa nataka kuingia Chimbo nijue ni kwanini huyu Mtoto...
  13. Hizi nyimbo za Rhumba huwa zinanikumbusha mbali sana

    Hizi nyimbo za rhumba huwaga zinakumbusha mbali sana Mayaula mayoni- Mbongou Diblo Dibala- Machete Papa Wemba yolele Extra music- Shalai Extra music- Losambo General defao- Famile kikute Kanda bongoman- Elisabeth
  14. Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

    Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo. Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
  15. Wapenda nyimbo za Kikongo (Slow Rhumba) karibuni tuburudike na muziki mzuri

    Wanasema Afrika Kongo ni nyumba ya mziki mzuri, nahisi hii imethibitishwa. Tupe jina la msanii na nyimbo alizoimba tuburudike, mimi nitaanza: 1. Franco Luambo - orodha ya nyimbo zote 2. Papaa Wemba - Yolele 3. Oliver - Bane Karibuni wakuu. Mziki wa Kongo ni mziki wa watu wazima, watu akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…