Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you kinsmen.

Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .

Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..

Enjoy good music








 
Halafu Kuna wimbo wake unaitwa Alphonsine, ulikuwa moto sana.
Alphonsine imetulia sana zilitengenezwa na producer wake Manu Limassol
Kamsikilize Monique seka, Ngoma Kama okaman, missounwa, adeba.
.
Hata nazo hizi zipo sawa ila Monique Seka hana hits nyingi kama Oliver halafu wote hawa producer wao alikuwa huyo Mr Manu lima
 
Back
Top Bottom