Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu 🔂 nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima

Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu 🔂 nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
 

Attachments

I salute you kinsmen.

Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .

Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..

Enjoy good music
View attachment 3372017
View attachment 3372019
View attachment 3372021
View attachment 3372021
View attachment 3372026
View attachment 3372028
View attachment 3372027
View attachment 3372026
View attachment 3372021
anaanza Oliver Ngoma, anafuata Monique Seka.

Oliver Ngoma ni King wa African Zouk.
Monique Seka ni Queen wa African Zouk.
 
Oliver Ng'oma did the best aseeh Kuna Adia, bane na nyingn nimesahau huwa nashiba ikiwa sijala

Kipindi hicho miaka ya 1990 ndo nimekutana na ndege pale kempisiki hotel akiwa mwanafunzi wa mlimani kipindi hiko kwako ndege wa komwe secretarybird
Basi nimekumbuka ile ngoma yake inayoitwa 'Lusa' ambayo hata bro Evelyn Salt aliipenda kuliko hata demu wake.

We acha tu mkuu!
 
Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu 🔂 nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
Mkuu, jamaa ameamua kutugusa mioyo yetu na kutukumbusha mbali sana.

Hiyo nge tulikuwa tunasikiliza tukiwa tunakula chakula cha usiku kama familia kwa pamoja maana mzee anaupenda sana wimbo huu.

Hakika nyakati zinakimbia sana aisee.
 
Back
Top Bottom