Nimepakua sote yelooo.I salute you kinsmen.
Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .
Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..
Enjoy good music
View attachment 3372017
View attachment 3372019
View attachment 3372021
View attachment 3372021
View attachment 3372026
View attachment 3372028
View attachment 3372027
View attachment 3372026
View attachment 3372021
Uko kama mimi nikipenda Wimbo huwa sichoki kuusikiliza hata siku nzima.Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu 🔂 nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
unaweza kujikuta ww ndio mjinga namba moja au mwendawazimu kabisaUjinga
Ungezaliwa zamani Kuna jambo lingekufanya utamani kuzaliwa siku hizi.Na ndio UBINAADAMU wenyewe.Kiukweli kwa sasa hakuna muziki natamani ningezaliwa zamani sana hakika ningepata radha halisi ya muziki
Kwa zouk Oliver Ngoma anaongoza kisha anafuata Monique Seka ila kwa upande wa rhumba hakuna wa kumfikia Ferre Gola 'le padre'
Sijasoma komenti yako ila nimecheka vibaya mnoHizo ngoma sijazisikiliza Ila n mzuri sana, hasa hy ngoma ya tano hapo ni balaaaaaaaaaaaaaah
Pamoja sana mkuuMoja ya miamba iliyotuheshimisha wa Africa.
Shukrani kwa kuleta hizi kumbukumbu mkuu hakika atakumbukwa vizazi na vizazi.
Hata mimi nimeshangaa mtu mpaka anaitwa system ujue ni kweli hatariYani huyo amzidi Madilu System?
Madilu System slikuwa ni habari nyingine kwa mziki wa rhumba.
Hakika nduguUngezaliwa zamani Kuna jambo lingekufanya utamani kuzaliwa siku hizi.Na ndio UBINAADAMU wenyewe.