Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
- Thread starter
- #81
Adia niliisahau mkuuKama kwenye hiyo list hamna adia hiyo list ni batili
Adia niliisahau mkuuKama kwenye hiyo list hamna adia hiyo list ni batili
Hakika walijua mziki hasaHao wote sina uchaguzi hata kidgo ni best ever my favourite musicians
Niliwahi kusikia hayo ila nikajua ni tetesiNapenda wimbo wake wa bane. Inasemakana jamaa kifo chake kilisababishwa na figisu za kisiasa. Wakati wake alikua na jina kubwa sana kukawa na tetesi anataka kuingia kwenye siasa agombee urais. Wenye mamlaka wakapita nae
Ukienda harusini usipopigwa lusa au adia basi hakuna sherehe hapoda kuna nyimbo kama lusa huu saiz unapgiwa sana kwenye sherehe kama harusi.
Kuna huyu monique seka nyimbo kama yelele,yaye dlemin,misounwa,chlein koe da moyo unasisimka kwkwel oliver ngoma na moinika seka nyimbo zao zinaish
Ni uzembea wa hali ya juuAdia niliisahau mkuu
Sema kwa zouk siyo rhumbaI salute you kinsmen.
Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .
Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..
Enjoy good music
View attachment 3372017
View attachment 3372019
View attachment 3372021
View attachment 3372021
View attachment 3372026
View attachment 3372028
View attachment 3372027
View attachment 3372026
View attachment 3372021
Mimi Nge' ndo nyimbo pekee niliyo nayo kwenye simu na ukinikuta nasikiliza muziki lazima ni nge' for over three years nowI salute you kinsmen.
Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .
Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..
Enjoy good music
View attachment 3372017
View attachment 3372019
View attachment 3372021
View attachment 3372021
View attachment 3372026
View attachment 3372028
View attachment 3372027
View attachment 3372026
View attachment 3372021
Mimi huu ni mwaka wa pili kama sio watatu ndiyo ngoma pekee ambayo nikiingia kwenye gari ni bluetooth connected na inaanza kugonga. Yani wanaonifahamu wanashangaa kila wakikutana na mimi nasikiliza hii ngoma. Huwa inafanya akili yangu inarudi miaka kibao nyuma inanikumbusha utoto na marehemu mzee wangu.Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu 🔂 nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
unamjua madilu systemI salute you kinsmen.
Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .
Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..
Enjoy good music
View attachment 3372017
View attachment 3372019
View attachment 3372021
View attachment 3372021
View attachment 3372026
View attachment 3372028
View attachment 3372027
View attachment 3372026
View attachment 3372021
nyimbo 3 tu za maaanaUnamjuq Monica seka
Madilu ni Rhumba sio zoukunamjua madilu system
sema jama anajua ni vile tu kujibrand shidaYupo konde boy
Hajapata watu sahihi wa kumzunguka mwijaku atakushauri ninisema jama anajua ni vile tu kujibrand shida
Mkuu mbona hujamtaja Fayatesaanaanza Oliver Ngoma, anafuata Monique Seka.
Oliver Ngoma ni King wa African Zouk.
Monique Seka ni Queen wa African Zouk.
Ferre yupo juu.Mfalme wa rhumba ni mmoja tuu, Fally Ipupa Nsimba a .k.a James Bond of Africa,
Yule mtu anajua na kujua tena aah hapa nasikiliza Le Temps...