Ridhiwani Jakaya Kikwete (born 16 April 1979) is a Tanzanian lawyer and CCM politician. He is currently a Deputy Minister of Lands and Human Settlement Development in Tanzania. Member of Parliament for Chalinze Constituency (CCM).
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
WanaCCM walishageuza hili taifa kuwa la kisulutani.
Nape, Riziwani na January Makamba wamerithishwa madaraka. Hii iko wazi kabisa.
Mzee Lawi Sijaona Ngwanda ni mmoja wa waasisi wa taifa letu alipigiania uhuru wa taifa letu. Mbona hatusikii juu ya uzao wake kurithishwa madaraka.
N.b Nape hana...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete licha ya shughuli zake kubwa za kitaifa kama Naibu Waziri lakini kamwe hasahau Jimbo lake na amekuwa mstari wa mbele kila siku kusukuma na...
Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
MHE. KIKWETE AELEKEZA WARATIBU WA TASAF KATIKA HALMASHAURI KUPATIWA ELIMU YA KUWAHUDUMIA WALENGWA KWA UPENDO.
Lengo la kuanzishwa kwa TASAF ni kuwawezesha watu wasiojiweza kabisa kiuchumi kuondokana na hali iyo duni kuwapa ruzuku itakayowasaidia kupiga hatua ya maendeleo kiuchumi, hivyo ni...
Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu...
TPSC NA TAASISI YA UONGOZI ZATAKIWA KUANDAA PROGRAMU ZA MAFUNZO ZITAKAZOBORESHA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na Taasisi ya...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma kujibu kwa wakati barua za masuala ya kiutumishi ili kuepuka malalamiko yasiyo ya lazima ambayo yamekuwa yakielekezwa katika Ofisi ya...
TUKISIMAMIA HAKI NA SHERIA,TUTAONDOA UVAMIZI - RIDHIWANI KIKWETE
Maneno hayo ameyasema Mh. Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipofanya Ziara ya siku moja katika kata ya Lugoba ambapo migogoro ya Uvamizi wa Ardhi za Vijiji inaonekana kuanza kushamiri. Katika ziara...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amewataka wananchi kujikita kwenye kilimo cha Pamba ambacho kitawakwamua kiuchumi.
Ridhiwani ametoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Vijiji vya Kilemela, Hondogo na Rupungwi katika Kata ya Mandera ambapo alisema ni wakati sasa wananchi...
Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
Hayo ndiyo yalikuwa maneno ya mwisho kupewa mama pale airport wakati anaagwa na wenyeji wake na kutakiwa safari njema na viongozi wa juu wa chama cha kikomunisti na serikali ya China.
Bila shaka Wachina wanapata taarifa za uchapakazi wa Ridhiwani katika nafasi yake ya ubunge.
Kumekuwa na Juhudi nyingi kufuta Mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli,Jitihada hizi zinaonekana waziwazi hasa kutokutambua mchango wake kwenye Miradi aliyoiacha,
Katika Daraja jipya la Wami aliloliasisi tumeona mzinduzi alivyokwepa kutambua mhasisi dr Magufuli.
Katika ukaguzi Wa Meli tumeona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.