rigathi gachagua

Geoffrey Rigathi Gachagua (born 1965) is a Kenyan politician who is serving as the 12th and current deputy president of Kenya since September 2022. He previously served in multiple capacities in public administration such as Assistant Secretary in the Ministry of Home Affairs & National Heritage, Personal Assistant to the Head of the Public Service, Personal Assistant to Uhuru Kenyatta, who was then Minister for Local Government and as a District Officer.
He was elected as the Member of Parliament for Mathira Constituency, Nyeri County from 2017 to 2022 under the Jubilee Party. Gachagua ran for the Deputy President in the 2022 Kenyan General Election on a joint ticket with William Ruto's running mate under the United Democratic Alliance party, winning with just over 50% of the votes.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    POTOSHI Rais Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake baada ya kuapishwa na kutoa onyo kwa Rais Ruto kuhusu matukio ya Utekaji

    Je, ni kweli Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake ya uapisho na kutoa onyo kali kwa Ruto kuhusu matukio ya Utekaji, na je, huyu Gachagua alihudhuria kwenye tukio hilo?
  2. Suley2019

    Gachagua alilazimika kukimbia baada ya kundi la wahuni kuvuruga mazishi ya Limuru, watu kadhaa wajeruhiwa

    Matukio yaliyofuata mazishi ya mpendwa Erastus Nduati huko Limuru, Kaunti ya Kiambu mnamo Novemba 28, 2024, yaligeuka kuwa machafuko baada ya wahuni kuvuruga tukio hilo. Makamu wa Rais wa zamani, Rigathi Gachagua, alilazimika kukimbia baada ya wahuni kuvuruga huduma ya mazishi ya Nduati huko...
  3. Tlaatlaah

    Tundu Antipas Lissu na Rigathi Gachagua, aliyekuwa Naibu Rais Kenya wanatofautiana nchi tu

    Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi. Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo. Mara nyingi watu wa...
  4. Mtoa Taarifa

    Gachagua adaiwa kuanza mazungumzo ya kuungana na Upinzani ili kupambana na Ruto mwaka 2027, asema Gen Z ndio silaha yao

    Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027. For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President. Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE A political marriage between...
  5. W

    Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

    Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria. Soma...
  6. The Sheriff

    Gachagua: Ruto aliniondolea ulinzi nikiwa hospitali. Sikujua anaweza kuwa mkatili kiasi hicho; kitakachonitokea atawajibika

    Naibu Rais aliyeondolewa madarakani, Rigathi Gachagua, amethibitisha kuwa maafisa wake wa usalama waliondolewa alipokuwa amelazwa hospitalini Alhamisi, Oktoba 17. Akizungumza na vyombo vya habari alipokuwa akitoka Hospitali ya Karen jijini Nairobi, Gachagua alimshutumu Rais William Ruto kwa...
  7. J

    Wafanyakazi wote 108 wa Ofisi ya Naibu Rais wapewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa leo, Oktoba 19, 2024

    Wafanyakazi wote wa Ofisi ya Naibu Rais wa Kenya wamepewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa Leo 19/10/2024 === Kwenye taarifa Jumamosi serikali iliamuru jumla ya wafanyakazi 108 katika walioajiriwa mahsusi kumhudumia Bw Gachagua kwenda likizo kutokana na kile kinachotajwa kama “mchakato wa...
  8. JanguKamaJangu

    Bunge lapitisha jina la Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais wa Kenya

    Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika. Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa na kuwa rasmi Naibu Rais wa Rais William Ruto. Atakapoapishwa atachukua nafasi ya Rigathi Gachagua...
  9. The Sheriff

    Mahakama ya Juu yasitisha kwa muda uamuzi wa Seneti kumwondoa Gachagua na Uteuzi wa Naibu Rais mpya

    Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa amri ya kusimamisha kwa muda uamuzi wa Seneti wa kuunga mkono kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Jaji E.C. Mwita amechukua hatua hiyo akirejelea masuala makubwa ya katiba na umuhimu wa kulinda maslahi ya umma. Kikundi maalum, kilichoteuliwa na Jaji...
  10. Kidagaa kimemwozea

    Rais Ruto ampendekeza Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa madarakani

    Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limepelekwa Bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang'ula alitangaza uteuzi huo...
  11. Valencia_UPV

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

    Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President. ===== Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani. Spika Amason Kingi: Seneti imeamua kumng'oa madarakani kwa hati ya mashtaka, Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hivyo basi, anakoma...
  12. J

    Naibu Rais Gachagua augua ghafla na kupelekwa hospital Muda mfupi kabla hajaanza kutoa ushahidi

    Katika hali isiyotarajiwa, Naibu wa Kenya Rais Rigathi Gachagua ameripotiwa kuzidiwa na kupelekwa hospitalini zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya kutoa ushahidi wake. Wakili wake, Paul Muite, aliwaambia Maseneta kuwa Gachagua alizidiwa baada ya chakula cha mchana wakati akisubiri kesi ya...
  13. The Sheriff

    Yaliyojiri katika Kesi ya kumuondoa Madarakani Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, Oktoba 17, 2024

    https://www.youtube.com/live/KpOvDAfGm7o Bunge la Seneti linaendelea na mjadala unaohusisha tuhuma mbalimbali dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua ambapo kuna uwezekano wa kupiga kura leo Oktoba 17, 2024 ili kuridhia au kutoridhia kuondolewa kwenye nafasi yake ya Naibu Rais. Soma: Yaliyojiri...
  14. JanguKamaJangu

    Mahakama yamgomea Rigathi Gachagu

    Mahakama ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kupitia ombi la kuzuia mchakato huo. Aidha, mahakama hiyo imesema mchakato huo utaendele kama ulivyopangwa bila kuingiliwa na mamlaka hiyo...
  15. The Watchman

    SI KWELI Rigathi Gachagua ameandika barua kujiudhuru wadhifa wake

    Wakuu Salaam, Nimekutana na na barua ambayo inasambaa mtandaoni ambayo inaonekana kama imeandikwa na Naibu wa Rais wa Kenya ikiwa na dhumuni la kujiudhulu, je kuna uhalisia wowote juu ya suala hili?
  16. D

    Naibu Rais wa Kenya aanza kujitetea bungeni dhidi ya hoja ya kumtimua madarakani

    Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ameanza kujitetea mbele ya Wabunge nchini humo ambao wamekuwa wakijadili hoja ya kumuondoa madarakani, kwa tuhuma mbali mbali ikiwa ni pamoja na uhaini, kupata mali kinyume cha sheria na kutoa kauli zinazochochea ukabila...
  17. Mtoa Taarifa

    Naibu Rais Gachagua kujitetea mbele ya Wabunge leo juu ya hoja za kumwondoa madarakani

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua anatarajiwa kufika mbele ya Bunge la Kitaifa kwaajili ya kutetea nafasi yake (Unaibu Rais) dhidi ya hoja za kumwondoa Madarakani zilizowasilishwa na Septemba 26, 2024 na Mbunge wa Kibwezi Magharibi, Mwengi Mutuse. Hatua hiyo inafuatia mchakato wa kukusanya maoni ya...
  18. Kingsmann

    Rais Ruto anavyopita njia ya Uhuru kwa Gachagua

    Ni kama historia inakwenda kujirudia kwenye siasa za Kenya. Ilianza kwa Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, William Ruto kiasi cha kuharibu mambo kuanzia ofisini, kwenye kampeni na hata baada ya uchaguzi uliomuweka Dk Ruto madarakani. Kwa sasa ni zamu ya Ruto tena na Naibu Rais wake, Rigathi...
  19. Waufukweni

    Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  20. Mkalukungone mwamba

    Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani

    Wakili na mwanaharakati Morara Kebaso wameshambuliwa na baadhi ya wananchi wenye hasira kali katika ukumbi wa ‘Bomas of Kenya’ wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani nchini Kenya. Soma Pia: Yanayojili hoja ya kumuondoa...
Back
Top Bottom